Umechoka Kukaa nyumba za gharama!!??

Dec 8, 2023
23
30
Ieleweke tu gharama za nyumba zimepanda na hivo hii inatuumiza sana wapangaji.Lakini pia si kua hamna nyumba za bei rahisi maeneo mazuti La hasha zipo tena zipo nyingi tu ila kukisekana kwa taarifa muhimu kuhusu wapi kwa kuzipata ndio changamoto…..

Binafsi nitakuelekeza wapi kwa kupata nyumba hizo mimi kama [mention]Newrays Realestate [/mention] Nitakupa taarifa hizi sahihi

Kama unaishi mkoa wa mbeya Mjini unataka nyumba ya bei rahis hapa umefika.

Iwambi njia panda ya mbalizii
Pata chumba kwa shilingi elf 10 tu
Nyumba ina umeme
Nyumba ina maji
Nyumba ina choo
Nyumba iko karibu na barabara

Changankia fursa!!OFA YANGU YA LEO
 
Aisee
 
[mention]Lucha [/mention] [mention]tandabui2021 [/mention] nataka niwapangie chumba huku
 
Ukitaka maendeleo kaa mtaa ambao wewe utaonekana ni masikini,usikae na watu masikini watakuambukiza negative energy baada ya mda wewe utakuwa masikini kuwazidi.
Ukikaa na watu wanaokuzidi uwezo utajenga connection kupitia misiba,sherehe,vijiwe bar au pub walevi huwa marafiki au kupitia ibada za jumuiya.
Mitaa iliyofanikiwa Wana positive energy.
 
Back
Top Bottom