Umeadimika kishenzi!


Mkuu umenikumbusha mbali sana.........long time kitambo sijaona hizi gari majuzi kati ndiyo nikaona FIAT moja choka mbaya limebebea magogo kutoka Olmotonyi Misitu linashuka Ngara

Ila zote lililopotea ni yale mabasi aina ya Layland Dafu
(sina uhakika na hizi spelling)

umeadimika kama viford vya usa-arusha
umeadimika kama mabasi ya arusha- moshi(vichwa ng'ombe)
umeadimika kama tembo wa mount meru sanctuary(tanzanite zoo)- usa.
umeadimika kama matairi ya general tyre
 
Back
Top Bottom