SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 5,193
- 8,009
Binadamu tumeumbwa kusahau. Yanga ilipoifunga Simba msimu huu, Rais wa Yanga Hersi Said alienda kujitapa kwa Rais wa CAF na mmiliki wa Mamelodi Sundowns Patrice Motsepe pamoja na Rais wa FIFA Infantino.
Kumbe Motsepe ni mshabiki mkubwa wa Meddie Kagere na anaijua ile kauli yake ya "mnafiki ishi naye kinafiki" akawa anamchora tu mwanetu, akampa hadi cheo bandia kama kile cha Naibu Waziri Mkuu.
Jana mzee mzima akamtumia message Mwenyekiti wa Vilabu Afrika akimwambia "sisi siyo milima, tumekutana", ameamua kutuma vijana wake kina Shalulile wapunguze kelele mjini na nadhani umbea pia utapungua kwa kiasi fulani.