mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Wajameni wakati narudi kutoka kijijini kwetu Morogoro (Mjue kule hatuna magazeti ukilipata basi mtu katoka mjini tena kafungia khanga au samaki pia Radio hazisikiki)
Nimesikia watu wanaongea kwenye basi kuwa eti Ndege ya Mtukufu Rais wetu ni mbovu, imeenda matengenezo nje ya nchi na Serikali hatimaye yashindwa kulipa gharama za matengenezo.
KISA: Serikali haina pesa kabisa kwenye account zake (zimebaki na salio Tshs. 0.0)
Jamani ambao mlikuwa huku mjini naomba mnifahamishe nisije Ropoka nikafungwa jela bure!!!!!!! mtoto wa Kiluguru.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!