Umaskini mbaya nyie.....

Nyani Ngabu, unajitafutia laana wewe kiumbe
hao ni taifa teule, wanacho kifanya ni sahihi 100%
Politicians kusema migrants ni "cancer" ni sawa!
Hawana makosa, hawana kasoro, taifa la Mungu.
Ha ha ha ha ha (Source of the laughter: Malecela)
 
Hapo mwisraeli ninampongeza kwani ana haki zote za kukurudisha nchi uliyotoka ukizingatia kuwa kanchi kake ni kadogo na pamoja na udogo wake bado mwarabu anataka kumfukuza na kumnyanganya hata hako kajisehemu alikonako,na watu wanatoka kwenye linchi kama sudan kwenda kujazana huko.God bless Israel forever,kama nimemsikiliza vizuri ni kuwa kila familia inayorudishwa kwao inapatiwa dollar 13000 za kuanzia maisha wakishafika kwao,kwa hili nazidi kumsifu muisrael.Kwa hapa ninapoishi wakikukamata unaishi bila vibali vyao kwanza wanakuweka ndani na siku wanakurudisha kwenu unakabidhiwa Euro 50 za kuanzia maisha ukifika kwenu na ni nchi ambayo ina uchumi mzuri tu ambao unaweza kuizidi hata Israel.Long live Israel..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom