Uliza jambo lolote kuhusu Bahari na safari na vimbwanga vya Baharini

We ulitaka akujibu vipi kama siyo kienyeji?Sasa ulitaka jibu la kitaalamu kwani unayemuuliza ni Profesa?au ana Diploma ya mambo ya Bahari?Acha dharau umeuliza na umejibiwa kama ujaridhika nenda Chuo kikuu cha Mlimani watakujibu kwa Ufasaha.
Wabongo tuwazoee
 
Hahaha, hizi ndo story tulizotegemea kuzipata. Ila sasa nazo zina vikwazo·
ipo moja wakati tunatoka mafia tunaitafuta kilwa tulipakia mzigo wa pesa nyingi sasa tupo nje ya kimbiji nje kabisa ikatukamata boti ya mali asili alafu wanatataka waturudishe dar watupeleke polisi mi nikawaambia wenzangu tukipelekwa polisi tumekwisha pale pale nikamwambia bahari wangu aende akazibue ili tuzame tupoteze ushahidi jamaa kweli akaenda chini akajifanya kuna kitu kimepotea akawa anatafuta mwisho akaenda zibua tukazama ikabidi wale maaskari watuchukue mpaja kimbiji wakatucha pale ndio pona yetu
 
nipo safarini nikifikia bandalini ntabadili simu ntasuha vitu zaid ila hii nayotumia sasa inazingua
Hivi usewe bado ipo maana ilikuwa bandari yetu
Wazee wa kuforce king......
Ebwanaaa eh ukizungumzia mafia inanikumbusha mbali sana kulikuwa na jamaa mmoja mkuda sna anaitwa abdala kifuaaa alikuwa Mali asili kwenye zile opereshen alikuwa kimbelembele sana.... Yupo bado

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nishawapakia sana tena mmoja alinipa elimu ya utambuzi mambo siwezi kuyasema sana nachokumbuka kuna siku ilikuwa nimebeba sukari na mafuta ya kupikia mzigo unafikia milioni nne natoka zenji naitafuta mafia boti ya mali asili ikawa inatufkuza jini ndo alonipa elimu ya kuchuka kindu saba na kutupa baharini siwezi sema sana naweza nkawaharibia wenzangu jini ni kiumbe kama wengine tu naweza kusema hapa kwakuwa ni mambo ya kuamini wadau hapa wengine watanipopoa


Je, alikuwa ana maumbile gani? Mkuu, hivi kwa hukuogopa kwa kweli kupakia majini na kwanini Masheikh wanakuwa na majini, ni majini hawa hawa unaowapakia wewe au?
 
Je, alikuwa ana maumbile gani? Mkuu, hivi kwa hukuogopa kwa kweli kupakia majini na kwanini Masheikh wanakuwa na majini, ni majini hawa hawa unaowapakia wewe au?
jini nilowah kupakia alikuwa mwanaume alikuta bandalini akaniambia nina mzigo unataka uende mafia alivyotaja idadi ya mzigo nikamwambia huo mzigo ni kidogo subiria tutafute mwingine tujazie angalau tupate pesa yule akaniuliza kwani mntaka shingap mi nkamtajia pesa nayotaka ili tumpekeke jamaa kwa mshangao akasema pakia ntawapeni mda huo sijamua kama jini basi tukapakia usiku tukatoka tulitembea mpaka tukapita kisiwa cha koma kuna sehem inaitwa dira yule jamaa akadi ateremshwe ashafika tulimbishia kuna vitu alisema ikabidi tusimamishe jahazi na akateremka akateremsha mizigo yake mpaka mda huo kama siamini vile alipo maliza akatoa pesa tukaondoka mpaka mafia tulipofika tu baharia wangu watatu wakaacha kazi ntaendlea na story za majini mpaka nikawazoea
 
pia miongoni mwa mambo ambayo hayawezi futika kwenye maisha ili siku moja nipo zanzibar nshapakia mzigo ilipofika jioni tukaanza safari wakati natembea baharini mida ya saa moja alinipigia simu ndugu yangu akanambia kuwa wapo maeneo ya kisiwa cha koma nyuma kule na wapo kwenye jahazi na jahazi imegonga mwamba kwaiya inazama mdogo mdogo nikamwambia wapigie watu wa koma akanijibu anaowapigia hawapatikani hakika nilipagawa sana nikamwambia subiri niwatafute basi nikawapigia watu kama kumi wotte hawapatikani nililia kwakweli baada ya dakika kumi nikampigia afanye maarifa yakuogelea na madumu akanambia madumu yapo mawili na watu wapo saba kusikia hivyo nika mwambia toa shahada ndugu yangu alichonijibu pamoja kaka kuanzia mda ule sikuwa na amani kwakuwa nikasubiri asubuh palipo kucha nilikuwa nshafika maeneo ya kigambo nje kule napigiwa simu na kaka mkubwa kuwa nduguyu yangu ameokotwa na wavuvi akiwa amenasa kwenye jahazi maana wavuvi waliona inaelea elea maeneo mbuzi luma dah acha tu siwezi sahau
 
Utafikiri hata wanamlipa hela, hata akiukimbia si uzi wake? Wanataka hadi kumpangia Mda wa kuwajibu
Miafrika sijui tupoje. Mtu ameleta uzi wake ajibu maswali kwa uzoefu wake manaanza mdomo mrefu kuwa amekimbia uzi. Mnafikiri kuwa hana shughuli zake nyingine zaidi ya JF?

Kama mnajua jibuni basi sio mnaleta pang'ang'a zenu. Mnakera kinyama. Mwacheni mtu na uzi wake atajiby mda akijisikia
 
Mkuu tuambie tu tujifunze zaidi
yapo mengi sana ila viumbe ndo sana kama vibwengo pia zipoa nyumba chini ya bahari mpaka viumbe wanaoishi humo pia yapo mambo mengi mno nikikwambia unaweza usiamini unaweza kutembea baharini upepo ukawa mkali sana ukiona maneno upepo utatuli au kama mawimbi yakiwa makali sana ukitosa jiko tu mawimbi yanatulia
 
Mkuu ulikua wapi wewe unaejua ukaanzisha uzi wako ukatuelezea? Acha ujuaji usio na msingi, kama kitu unakijua ongezea watu wajifunze sio kujikuta Karl Peters ushatembelea mabara kibao na bahari unazijua..
Umenijibu Kienyeji ( Kipuuzi ) sana na hakuna hata Jibu la Kitaalam la Masuala haya ya Bahari ulilojibu hapa. Huna ukijuacho kuhusu Bahari Ndugu.
 
Back
Top Bottom