stable woman
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 3,887
- 4,467
Shangilia Yesu analea Yesu analea shangilia Yesu analea Yesu analeaaaaaaa
Kweli anakuona hata ulivyokengeuka Leo iiihili pambio ilikua kila nkiliskia nakumbuka sh tano yangu mfukon daah. nilikua nahis ananion kwel
Unamiaka kadhaa utakuwa wewe... nadhani kisongi cha juzi juzi tu hikoMwambie Faraooooo, nimeokoka sitarudi tena Misri naelekea Kaaanan.
Yesu ni wangu ni wa uzima na milele
nyie rika languImbeni ,imbeni kwa furaha,Yehova ametuletea uzima tele!
Hahahah itakuanaona tulisali wote pia
Labdanyie rika langu
Hii haipo kwenye Sunday school aseeTumaini letu mama eeenhe mama maria,tumaini letu mama eeenhe mama mariaaa