Uliona wapi mwanaume anajipeleka gerezani?

Mwanajamii

JF-Expert Member
Mar 5, 2008
7,063
68
Leo nimepita mitaa ya katikati ya Jiji nikaingia katika mgahawa mmoja na kukuta watu wakiwa na mjadala wa Lema kujipeleka Gerezani. Wengi wao walikuwa wanahoji kwamba tangu lini mwanaume akajipeleka gerezani tena mbunge. Walisema kuwa gerezani wanaingia watu wanaotumia madawa ya kulevya, wenye kesi za mauaji, wabakaji na majambazi iweje Mbunge aamue kwa ridhaa yake aingie humo? Kwamba aliingia kwa ridhaa yake na jana alitaka kutoka kwa ridhaa yake baada ya kuona posho za bunge lililoanza leo kana kwamba hii ni serikali yake.

Waliunga mkono kitendo cha mahakama kukataa kutoka kwake wakasema serikali inatakiwa kumuonyesha Lema kuwa hayuko juu ya sheria na kwa sababu alitaka mwenyewe kukaa gerezani, aendelee kukaa hadi mahakama itakapoamua na si yeye. Tena apelekwa kwa wanaume wenye zaidi ya miaka mitano gerezani ambao hawajaona mwanamke ili wam-cameroon maana ndicho alichokifuata na si huruma aliyonayo kwa watanzania.

Mzee mmoja alisema kuwa Lema anaichezea serikali ya Rais Kikwete isiyo na ubabe lakini angefanya hivyo wakati wa Nyerere angepambanishwa wanaume wa Cameroon gerezani na angeiona dunia mbaya.

Wakuu baadaye nikaona nijiondokee zangu na kuacha mjadala unaendelea, sijui ulimalizikaje.

Umesahau kwamba Lema alikuwa mhalifu siku za nyuma?
Hujasikia akihusishwa na wizi wa magari?

Inawezekana aliwamiss mamemba wake walioko gerezani ndo maana akatafuta njia ya kujipeleka.

Hana jipya, watu wa Arusha wameshamfahamu. Wanajuta kumchagua kuwa mbunge wao. Wameapa hawatarudia kosa 2015

Leo nimepita mitaa ya katikati ya Jiji nikaingia katika mgahawa mmoja na kukuta watu wakiwa na mjadala wa Lema kujipeleka Gerezani. Wengi wao walikuwa wanahoji kwamba tangu lini mwanaume akajipeleka gerezani tena mbunge. Walisema kuwa gerezani wanaingia watu wanaotumia madawa ya kulevya, wenye kesi za mauaji, wabakaji na majambazi iweje Mbunge aamue kwa ridhaa yake aingie humo? Kwamba aliingia kwa ridhaa yake na jana alitaka kutoka kwa ridhaa yake baada ya kuona posho za bunge lililoanza leo kana kwamba hii ni serikali yake.

Waliunga mkono kitendo cha mahakama kukataa kutoka kwake wakasema serikali inatakiwa kumuonyesha Lema kuwa hayuko juu ya sheria na kwa sababu alitaka mwenyewe kukaa gerezani, aendelee kukaa hadi mahakama itakapoamua na si yeye. Tena apelekwa kwa wanaume wenye zaidi ya miaka mitano gerezani ambao hawajaona mwanamke ili wam-cameroon maana ndicho alichokifuata na si huruma aliyonayo kwa watanzania.

Mzee mmoja alisema kuwa Lema anaichezea serikali ya Rais Kikwete isiyo na ubabe lakini angefanya hivyo wakati wa Nyerere angepambanishwa wanaume wa Cameroon gerezani na angeiona dunia mbaya.

Wakuu baadaye nikaona nijiondokee zangu na kuacha mjadala unaendelea, sijui ulimalizikaje.

Africa kusini!!

Waliunga mkono kitendo cha mahakama kukataa kutoka kwake wakasema serikali inatakiwa kumuonyesha Lema kuwa yeye hayuko juu ya sheria na kwa sababu alitaka mwenyewe kukaa gerezani, aendelee kukaa hadi mahakama itakapoamua na si yeye. Tena apelekwa kwa wanaume wenye zaidi ya miaka mitano gerezani ambao hawajaona mwanamke ili wam-cameroon maana ndicho alichokifuata na si huruma aliyonayo kwa watanzania.

Mzee mmoja alisema kuwa Lema anaichezea serikali ya Rais Kikwete isiyo na ubabe lakini angefanya hivyo wakati wa Nyerere angepambanishwa wanaume wa Cameroon gerezani na angeiona dunia mbaya.

Wakuu baadaye nikaona nijiondokee zake na kuacha mjadala unaendelea, sijui ulimalizikaje.

Kwenye red naona kama unafedhehesha watu wa jiji! Ni mwanaume wa shoka wa viwango vya Lema ndiyo anaweza kufanya uamuzi mgumu kama wake. Lakini naweza kuelewa kwa nini hao uliowahoji wamesema waliyosema - ni watu wanaoshi kwa nidhamu ya uoga, wasiosimamia chochote, na worst of all ni wanaume kwa muonekano wa suruali wanazovaa but deep down ni - chicken!

Uliona wapi mwanaume, Baba mwenye nyumba, Mzee wa familia akawa omba omba?

Leo nimepita mitaa ya katikati ya Jiji nikaingia katika mgahawa mmoja na kukuta watu wakiwa na mjadala wa Lema kujipeleka Gerezani. Wengi wao walikuwa wanahoji kwamba tangu lini mwanaume akajipeleka gerezani tena mbunge. Walisema kuwa gerezani wanaingia watu wanaotumia madawa ya kulevya, wenye kesi za mauaji, wabakaji na majambazi iweje Mbunge aamue kwa ridhaa yake aingie humo? Kwamba aliingia kwa ridhaa yake na jana alitaka kutoka kwa ridhaa yake baada ya kuona posho za bunge lililoanza leo kana kwamba hii ni serikali yake.

Waliunga mkono kitendo cha mahakama kukataa kutoka kwake wakasema serikali inatakiwa kumuonyesha Lema kuwa hayuko juu ya sheria na kwa sababu alitaka mwenyewe kukaa gerezani, aendelee kukaa hadi mahakama itakapoamua na si yeye. Tena apelekwa kwa wanaume wenye zaidi ya miaka mitano gerezani ambao hawajaona mwanamke ili wam-cameroon maana ndicho alichokifuata na si huruma aliyonayo kwa watanzania.

Mzee mmoja alisema kuwa Lema anaichezea serikali ya Rais Kikwete isiyo na ubabe lakini angefanya hivyo wakati wa Nyerere angepambanishwa wanaume wa Cameroon gerezani na angeiona dunia mbaya.

Wakuu baadaye nikaona nijiondokee zangu na kuacha mjadala unaendelea, sijui ulimalizikaje.

Sasa wewe kama ni JF material ulishindwaje kuwapa mifano au na wewe ni zuzu tu kama wao.

Afrika kusini,NELSON MANDELA..

Hivi CCM hamna kitu kingine cha kujadili zaidi ya Lema? Kweli mumefilisika kiasi hicho mnaanza kumjadili mtu kutwa kucha hakuna hoja zingine? Ndiyo matokeo ya kutumia masaburi kufikiri badala ya akili, yaani mnaboa saaaaaaaaaaaaana.Ama kweli Lema kawainamisha .

Bora mwanaume anayejipeleka jela kwa kutetea haki ya wapiga kura wake kuliko mwanaume anayehongwa suti na mwanaume mwenzake.

Hoja iliyotolewa ni ya Kipumbavu sana.basi kwa akili yenu Lema ni mwanamke,so what,na kwanini msijadili ya ccm wenye akili na ambao ni wanaume?

[h=1]Kesi ya Julius Kambarage Nyerere, rais wa Tanganyika African National Union, kwa "kashfa" dhidi ya maDC wa kikoloni wawili, 1958[/h]
books

By Simon Ngh'waya

Eti niliingia kwenye mgahawa mmoja mjini,eti nikawakuta watu wanajadili kuhusu Lema,eti watu wanaojipeleka gerezani,eti mzee mmoja akasema,anachezea serikali legelege ya jk,eti wanasema alitaka akadake posho za bunge eti eti! Wewe unafikiria nn?acheni majungu na umbea

kuna jamaa b*s*a wake alikuwa jela baada ya kuimiss ilibidi aende kituoni na kutoa matusi

Back
Top Bottom