Ulimwengu unatufundisha kitu tusichokielewa

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,638
697,929
Katika utangulizi wa somo letu hili tulijaribu kuwekana sawa kidogo kuhusu Mambo haya ambayo tunawafundisha.
katika masomo yetu Wala hayaangalii wewe Ni Dini gani kwa sababu masuala ya kiroho hayahitaji Dini husika ili kuyafikia Bali Ni kujitoa kwako kwa uaminifu tu.

UFAHAMU
Ufahamu Ni lile tendo la kujua Kama unajua, kutambua vile ambavyo vinatuzunguka kwenye uwepo wetu, MAHUSIANO hayo tunayaita mazingira.

Mazingira yanatengenezwa na zile idea ambazo zinaumbwa katika akili zetu, Na hizi idea ambazo zinatengenezwa katika akili zetu ndiyo msingi mkuu wa ufahamu wote.

Kiasili hizi ideas juu ya ufahamu wetu ndiyo zinatengeneza tabia husika

Matendo yasiyo ya hiyari : Katika ufahamu au consciousness tunaanza kukutana na huu ufahamu, huu Ni ufahamu unaohusu matendo yote yasiyo ya hiyari, mfano kupumua, kupiga chafya, Kwikwi, Kupaliwa, Nk.

Haya Ni matendo ambayo yanamtokea mtu au kiumbe pasipo yeye mwenyewe kujiandaa, yaani utake usitake yatakutokea tu. Yapo mengi Ila nimeyaweka hayo machache, mengine mtayaongezea.

Katika masomo haya inabidi uelewe kwamba as within so out side, yaani jinsi ambacho kipo Cha ndani ndiyo Cha nje pia kipo hivyo hivyo, na pia as above so below na jinsi ambacho kilivyo cha juu ndivyo kilivyo cha chini. hii pia unaikuta katika baadhi ya maandiko huku ikisema kwamba matendo yako yatimizwe huku duniani Kama ilivyo huko mbinguni, Ni Sheria tu hii ya as above so below.

Kabla hatujaingia ndani Sana kwenye kanuni yetu ya 3=2 na 2=1 inabidi tufuanguane hapa ili huko tunakoenda kusiwe na kuntofahamu.

Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali ndiyo matendo yote ambayo yamebebwa katika original thinking ndiyo yanafanyika Hapa kwenye matendo yasiyo ya hiyali, hapa ndipo kwenye nguvu ya now au Sasa au wakati uliopo.

MATENDO YA HIYARI (subconscious)
Matendo ya hiyari Ni matendo yanayofanyika kwa matakwa ya binadamu au kiumbe husika, kwa Nini haya hayanafanyika kwa matakwa au kwa kutaka tofauti na yake yasiyo ya hiyali.

Matendo ya hiyari Ni mkusanyiko wa mafikilio yote yaliyopita kwenye ubongo wa mwanadamu au kiumbe husika, yanaweza kuwa mawazo au matendo.

Na hapa ndiyo panapotunzwa kumbukumbu zote za nyuma, au tunaweza kuita memory.

Yote yanayofanyika kuwazwa na kuongelewa huwa yanaingia katika kipengele hiki Cha subconscious na kuhifadhiwa, Katika kuhifadhiwa huko hakuna hata kimoja kinachopotea, Ni mfano wa computer ambayo imehifadhiwa mafaili mengi Sana na hakuna hata faili moja lililopotea kitendo Cha kutokukumbuka faili lako umelisave wapi haimaanishi kwamba faili halipo.

Lakini wakati mwingine huu ufahamu wa subconscious unafanya kazi zake separate na conscious mind kivipi, mfano umelala na ukawa unaota matukio yaliyopita lakini wakati huo huo mwili unaendelea na zoezi la upumuaji ambalo liko nje kabisa na ule ufahamu wa matendo ya hiyari. Hivyo hapa tunaona kwamba huu ufahamu wa subconscious hauna nguvu kabisa juu ya ufahamu wa conscious.

Yale yote ambayo yanatokea na kufanyika kwenye ufahamu wa subconscious Ni matokeo ya kile tulichojifunza na kukivuna kutoka kwenye ufahamu wa conscious/super-conscious ambayo ndiyo yanakuja kutengeneza tabia au mazoea yetu.

UFAHAMU WA KRISTO
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu, huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia.

Kama ukiwa na uwezo wa kuutumia ufahamu huu Basi wewe utaonekana uko tofauti na watu wengine.

UFAHAMU BINAFSI ( personal consciousness)

Huu Ni ufahamu ambao una mipaka, yaani Ni ufahamu ulio kibinfsi Sana, nafikili hapo kwenu wapo watu ambao Ni wavinafsi mpaka inafikia hatua ya kujiuliza huu uchoyo wameutolea wapi, na kwenye ufahamu huu ndiyo inapatikana egos.

Sense consciousness

Huu Ni ufahamu ambao unaundwa kwa kuamini na kutenda kupitia hisia, huu ndiyo ufahamu wa nyoka, ambao unaongozwa na kufikilia zaidi. Mtu anapoambatana na mawazo yake ndiyo anaunda hii sense consciousness, na kinachotokea Ni kufanya mawazo yake yasiwe kiroho, na hapa ndiyo mtu anapopoteza MAHUSIANO yake na Chanzo chake.

Lakini IPO Njia yaa kurudi kwenye Chanzo ambacho tutakielezea kwenye muendelezo wetu. Kama ilivyoandikwa kwamba nitafufuka na kwenda kwa baba yangu.

MATERIAL CONSCIOUSNESS
Ufahamu huu hauna tofauti na ule ufahamu wa ubinafsi na ule wa sense. Huu Ni ufahamu ambao umeumbwa kwa kuamini uhalisia na materiality, Ni ufahamu ambao unajali vitu zaidi. Huu Ni ufahamu ambao Ni mgumu kuamini kuwa Mungu yupo kote na Hana ukomo.

Na ufahamu huu ndiyo ufahamu unaoabudiwa zaidi sehemu mbalimbali za kiimani huku ukiaminika kuwa ndiyo wenyewe.

Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko
FB_IMG_1698403717400.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu,
Kwanza unathibitishaje huo ufahamu wa kristo upo?

Na umejuaje ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu?

kama ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu wetu na utambuzi wetu, Aliyesema ufahamu huo wa kristo upo yeye alifahamu vipi?

Alitumia ufahamu gani?
huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia.

Kama ukiwa na uwezo wa kuutumia ufahamu huu Basi wewe utaonekana uko tofauti na watu wengine.

UFAHAMU BINAFSI ( personal consciousness)

Huu Ni ufahamu ambao una mipaka, yaani Ni ufahamu ulio kibinfsi Sana, nafikili hapo kwenu wapo watu ambao Ni wavinafsi mpaka inafikia hatua ya kujiuliza huu uchoyo wameutolea wapi, na kwenye ufahamu huu ndiyo inapatikana egos.

Sense consciousness

Huu Ni ufahamu ambao unaundwa kwa kuamini na kutenda kupitia hisia, huu ndiyo ufahamu wa nyoka, ambao unaongozwa na kufikilia zaidi. Mtu anapoambatana na mawazo yake ndiyo anaunda hii sense consciousness, na kinachotokea Ni kufanya mawazo yake yasiwe kiroho, na hapa ndiyo mtu anapopoteza MAHUSIANO yake na Chanzo chake.

Lakini IPO Njia yaa kurudi kwenye Chanzo ambacho tutakielezea kwenye muendelezo wetu. Kama ilivyoandikwa kwamba nitafufuka na kwenda kwa baba yangu.

MATERIAL CONSCIOUSNESS
Ufahamu huu hauna tofauti na ule ufahamu wa ubinafsi na ule wa sense. Huu Ni ufahamu ambao umeumbwa kwa kuamini uhalisia na materiality, Ni ufahamu ambao unajali vitu zaidi. Huu Ni ufahamu ambao Ni mgumu kuamini kuwa Mungu yupo kote na Hana ukomo.

Na ufahamu huu ndiyo ufahamu unaoabudiwa zaidi sehemu mbalimbali za kiimani huku ukiaminika kuwa ndiyo wenyewe.

Imeandaliwa na kuandikwa na Dokta Dotto Aliko View attachment 2794570

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza unathibitishaje huo ufahamu wa kristo upo?

Na umejuaje ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu?

kama ufahamu huo wa kristo uko juu zaidi ya ufahamu wetu na utambuzi wetu, Aliyesema ufahamu huo wa kristo upo yeye alifahamu vipi?

Alitumia ufahamu gani?
I think anamaanisha Christ conciousness!

Japo sio wa Juu kuliko Zote ila ni wa juu kuliko Hizi subconsious tulizonazo upo ambao ni wa juu kuliko huo unaitwa Atmic consiousness

Ipo na ndo ufahamu ambao unamfanya mtu awe tofauti na mazingira Ya Material (Materialistic World) pamoja na kufanya awe na moyo Wa kupenda Nature na upendo aa hali ya juu...
Ni somo pana Sana kuelewa kuhusu Christ Consiousness...

Nafikiri Mshana Jr amepanga kuelezea vyote
 
Huu Ni ufahamu wa kiroho ambao uko juu zaidi ya ufahamu na utambuzi wetu, huu Ni ufahamu wa kweli ambao ufahamu huu Ni true idea ndiyo zinazalishwa hapa, huu ndiyo ufahamu ambao manabii au watu walio kiroho zaidi huutumia

Ulimwengu wa roho ni timilifu

UFAHAMU WA KRISTO NI PURE CONSIOUSNESS Kwa Sababu Chist mwenyewe alitungwa Mimba as a pure being ...akapata Mwili kwake Bikira Maria akawa Mwanadamu....!

100% AWARENESS...of the original master plan...Aware of original Architect....!

Uzi umeandikwa vizuri...unatiririka vizuri..unayo Elimu Msingi!
 
I think anamaanisha Christ conciousness!

Japo sio wa Juu kuliko Zote ila ni wa juu kuliko Hizi subconsious tulizonazo upo ambao ni wa juu kuliko huo unaitwa Atmic consiousness

Ipo na ndo ufahamu ambao unamfanya mtu awe tofauti na mazingira Ya Material (Materialistic World) pamoja na kufanya awe na moyo Wa kupenda Nature na upendo aa hali ya juu...
Ni somo pana Sana kuelewa kuhusu Christ Consiousness...

Nafikiri Mshana Jr amepanga kuelezea vyote

Wakina Moses wa agano la kale walikua hawana hii?
 
Roho ni nishati hai

Sent using Jamii Forums mobile app

Mkuu hapo juu kuna mahali umeweka link kuhusu ROHO
Nimekwenda nikakuta umeelezea sifa za roho na inachoweza kufanya
Lakini huja dadafua roho ni nini haswa

Hapa unasema ni nishati hai...... bado ni msamiati

Kwa jinsi mnavyoeleza kuhusu ROHO ni kama ni kitu fulani muhimu sana hivyo kitakuwa wazi

Binafsi nahakika sina ROHO mnayoitaja kila siku ila maisha yangu yanasongo

Inawezekana ninayo ila sijui
Hebu kwa lugha rahisi ROHO ni nini mkuu
Dadafua
 
Wakina Moses wa agano la kale walikua hawana hii?
Walikuwa nayo na ndo maana Ukiangalia katika Agano la kale Masihi au roho ya masihi ni wengi sana na Ndo maana walikuwa na uwezo mkubwa kuliko wengine...

Unaelewa nini kuhusu ZABURI 23
 
Zaburi 23 ipo kichwani mwangu hadi siku nitakapo kufa..... nilikariri nilipokua Sunday School kwenye sherehe za Mikael na watoto

Sioni mahusiano yoyote ya Christ ambaye hakuwepo wakati huo wa Daudi

Lakini pia mmejuaje haya mambo
 
Mkuu hapo juu kuna mahali umeweka link kuhusu ROHO
Nimekwenda nikakuta umeelezea sifa za roho na inachoweza kufanya
Lakini huja dadafua roho ni nini haswa

Hapa unasema ni nishati hai...... bado ni msamiati

Kwa jinsi mnavyoeleza kuhusu ROHO ni kama ni kitu fulani muhimu sana hivyo kitakuwa wazi

Binafsi nahakika sina ROHO mnayoitaja kila siku ila maisha yangu yanasongo

Inawezekana ninayo ila sijui
Hebu kwa lugha rahisi ROHO ni nini mkuu
Dadafua
Mshana Jr Yuko Sahihi kusema kuwa Roho ni nishati hai (Living energy)....

Roho pia kwakuwa ni nishati inaweza kukuconnect na Malimwengu mengine yoyote na ndo maana katika biblia (Naitumia kama refference) utakuta katika yohana 4;24...
.

Yohana 4:24

"Mungu ni Roho, nao wamwabuduo yeye imewapasa kumwabudu katika roho na kweli."

Pia unaweza ukafanya Rejea Ya

1 Wakorintho 15:29-53​

Waandishi wa Biblia walitumia neno la Kiebrania ruʹach au neno la Kigiriki, pneuʹma waliporejelea “roho.” Maandiko yenyewe yanaonyesha maana ya maneno hayo.

Kwa mfano, andiko la Zaburi 104:29 linasema: “[Yehova] ukiiondoa roho [ruʹach] yao, wanakata pumzi, na kurudi katika mavumbi yao.”

Andiko la Yakobo 2:26 linasema kwamba “mwili bila roho [pneuʹma] umekufa.” Katika andiko hilo “roho” inamaanisha kile ambacho huupa mwili uhai. Bila roho, mwili umekufa. Kwa hiyo, katika Biblia neno ruʹach halitafsiriwi tu “roho” bali pia “nguvu” au kani ya uhai.

Kwa mfano, Mungu alisema hivi kuhusu Mafuriko ya siku ya Noa: “Ninaleta gharika ya maji duniani ili kuharibu kutoka chini ya mbingu wote wenye mwili walio na nguvu [ruʹach] za uhai ndani yao.” (Mwanzo 6:17; 7:15, 22) Hivyo, “roho” inarejelea nguvu isiyoonekana, inayotendesha viumbe vyote vilivyo hai.

Na Ndo maaana Muhubiri anatuambia kuwa kwa upande wa Roho na maumbile ya Roho Binadamu na Mnyama ni sawa....

Muhubiri 3:18-22
Screenshot_20231028-073735.png
 
Zaburi 23 ipo kichwani mwangu hadi siku nitakapo kufa..... nilikariri nilipokua Sunday School kwenye sherehe za Mikael na watoto

Sioni mahusiano yoyote ya Christ ambaye hakuwepo wakati huo wa Daudi

Lakini pia mmejuaje haya mambo
Unajua maana ya christ kwanza nianzie hapo maana unasema christ hakuwepo wakati huo utafikiri ni mtu 😅😅

Nijibu hili na kwakuwa unajua biblia bhasi tutaenda sawia sana ili nikueleweshe vizuri
 
Back
Top Bottom