Ulimwengu umebadilika uchumi tz unakuwa wa wafadhili unaporomoka

Sonara

JF-Expert Member
Oct 2, 2008
726
68
UK economy shrinks at faster rate
posted : 15 MINUTES AGO comments : 0Last Updated: Friday, 27 March 2009, 12:39 GMT- Search: UK economic gloom

There was yet more economic gloom after official figures showed UK output shrank by a worse-than-expected 1.6% in the final three months of 2008.

The figure - revised lower from the original 1.5% estimate by the Office for National Statistics (ONS) - represents the worst fall in output since April-June 1980.

The slump was driven by a bigger-than-estimated fall in construction as well as declining output from the UK's services sector.

The pressure on struggling households was laid bare by a 1% fall in spending over the quarter. This represents the biggest drop since 1980 as households fearful of rising unemployment batten down the hatches.

The new caution was also underlined by a huge jump in the proportion of savings being put aside. This soared to 4.8% during the final three months of 2008 - almost treble the amount in the previous quarter.

Although GDP growth over the whole of 2008 was left unchanged at 0.7%, the newly-revised fourth-quarter figures left GDP 2% down year on year and sparked predictions of a 4% decline over the course of 2009.

Capital Economics' Jonathan Loynes said: "The rise in the saving ratio from 1.7% to 4.8% suggests that the required adjustment in households' balance sheets is at least under way. But these processes have much further to go and the early signals point to a fall in GDP of a similar magnitude in the first quarter of 2009, putting the economy on track to contract by as much as 4% this year."

The ONS figures revealed a far steeper decline in commercial construction, housebuilding and infrastructure work at the end of last year than first thought.

The 4.9% fall in output was the worst since 1980 and sharply lower than the ONS's 1.1% initial estimate. The services sector - which accounts for almost three-quarters of the economy - saw its fastest contraction since 1979, although the 0.8% decline was revised up from the initial 0.9% estimate.

IHS Global Insight economist Howard Archer warned: "Consumer spending will be increasingly pressurised by soaring unemployment and markedly reduced income growth, while business investment is being slashed in the face of sharply weakened demand, rising levels of spare capacity, worsening cash flows and very tight credit conditions."
 
Unaweza kuporomoka lakini misingi ya kuurudisha mahali pake ipo ni suala la muda tu. Kuanzia technologia, viwanda mpaka nguvu kazi. Sisi tunasema uchumi wetu unakuwa we subiri pale 32% ya bajeti inayotegemea wafadhiri itakapokatika. Tutatembeza bakuli na hakuna atakayetusikiliza na huku tumeacha raslimari zetu watu wakizichota kirahisi kwenda kuimarishia uchumi wao


Yangu macho
 
Unaweza kuporomoka lakini misingi ya kuurudisha mahali pake ipo ni suala la muda tu. Kuanzia technologia, viwanda mpaka nguvu kazi. Sisi tunasema uchumi wetu unakuwa we subiri pale 32% ya bajeti inayotegemea wafadhiri itakapokatika. Tutatembeza bakuli na hakuna atakayetusikiliza na huku tumeacha raslimari zetu watu wakizichota kirahisi kwenda kuimarishia uchumi wao


Yangu macho



You made it look soooo simple!
 
Unaweza kuporomoka lakini misingi ya kuurudisha mahali pake ipo ni suala la muda tu. Kuanzia technologia, viwanda mpaka nguvu kazi. Sisi tunasema uchumi wetu unakuwa we subiri pale 32% ya bajeti inayotegemea wafadhiri itakapokatika. Tutatembeza bakuli na hakuna atakayetusikiliza na huku tumeacha raslimari zetu watu wakizichota kirahisi kwenda kuimarishia uchumi wao


Yangu macho

ndio ni swala la muda tu, lakini huo muda ni mfipi au mrefu kiasi gani? Swala la kukatika kwa 32% unaona kuna dalili zozote zile za kuacha hako kautaratibu cha kutembeza bakuli?
 
Ni swala la muda tu hata iwe miaka kumi watarudi kwenye mstari. Kushindwa kuwasaidia watu wao sio mara ya kwanza hiyo imejitokeza mara nyingi hata wakati wa Great Depression hali ndio ilikuwa mbaya zaidi kwa wamarekani. Ila ukiwasikiliza viongozi wao wanachoongea na mikakati wanayoifanya inatoa matumaini ya kuwa watu wako serous na utatuzi wa hilo tatizo. Ukishindwa kudeliver wananchi wao wala hawakopeshi ni kukutoa madarakani. Nchini kwetu watu wanaendelea kumaintain status quo. Tunaongelea uchumi kusuasua, huku watu wanaongelea habari za kutumbua billion 300 kwa ajili ya vitambulisho . Wenzetu wanaongelea kupunguza matumizi ya wakuu wa vitengo, sie aka millioni saba kuendelea kupewa mbuge hatuoni shida, vikao vya kujiongezea posho ndo vinaendelea. Sanasana tumeona viongo wakilobi kwa nchi nchi tajiri kuwa zinapopanga mikakati yao ya kunusuru uchumi wao, zisizisahau nchi maskini kwa vile sio walioanzisha tatizo. Mara ngapi matatizo yameanzia ulaya yakaishia kwetu? Na nchi za ulaya zimetusaidiaje katika vipindi vyote hivyo? Sana sana tutaanza kuona masharti magumu zaidi ili bakuli letu tunalotembeza angalau lipate hata robo ya kamsaada.

Shame on us ambao tumeamua kuwafanya wazungu kama ndio wakombozi wetu. Kama hatujui wazungu wanatudharau na wanatushangaa kwa tabia yetu ya kuendekeza uzembe na ufujaji, ila wanashukuru kwa kuwa kupitia ujinga wetu wanafanikiwa kutengua nguvu zetu na kukomba raslimali zetu.
 
Hii financial crunch italeta mabadiliko makubwa kwa wengi, mabaya na mazuri; itategemea wewe uko upande gani. Sio tukio dogo hili!
The link at the bottom was interesting to read.


The cost of housing is one of the peculiar things about the United States. The population density is 8 times as high in the UK. How can they afford to live. Why isn't it dirt cheap here. Taxpayers money paid the troops that wiped out the Indians so why isn't land cheaply available to Americans.

It is an economic power game that most people are supposed to lose. When do economists suggest mandatory accounting in the schools? When do they talk about the depreciation of the trashmobiles designed to become obsolete? There have been 200,000,000+ cars in the US since 1995. At $1,500 in depreciation per car per year that is $300,000,000,000 per year. FOUR TRILLION DOLLARS since 1995 and economists say NOTHING.

From Economic Errors to GlobaLIES | General | Business


.
 
Ndio maana nimesema wataweza kujikwamua maana wote wako conscious kuwa tatizo kubwa lipo mbele yao na wanafanya kila wawezalo kujikwamua katika kila sehemu. Nikupe mfano mdogo tu. Nipo kwenye chuo kimoja hapa kwa muda mfupi. Nilifanikiwa kuhudhuria mkutano wakupitisha badget ya chuo. Walieleza hali halisi ya tatizo la uchumi lilivyo kwenye chuo, dola ngapi watapata na waliainisha mambo ya kupewa kupaumbele wakati huu na mambo gani yasubiri. Badget ya chuo inapitishwa kwa uwazi mbele ya wafanyakazi wote, kila kitivo kilateta mahitaji yao kwa kadri walivyopanga na wafanyakazi wanashauriwa kutoa mapendekezo yao. Hivyo unaona kabisa kuwa ni jamii ambayo imeshafika mbali katika kupanga mambo yao wakati wa boom wa wakati wa crisis. Lingine (hili sio la chuo) wananchi na selikari imewajia juu AIG kwa kutumia pesa walizopewa na selikari kwa ajili ya kuliokoa shirika kwa kuwalipa bonus maboss wa AIG. Kelele zile ziliwafanya baadhi ya maboss kuona haya na kurudisha pesa. Pia wanazifanyia merekebisho sheria maana walikuta zina mapungufu mengi ambayo yanatoa mianya ya ufujaji wa fedha za umma.
Kwa kifupi wao wenyewe wamekubali kuwa tatizo ni kubwa na wanafanya kila wawezalo kulitatua.
 
Last edited:
Cha aibu ni pale viongozi wetu wanapokuwa katika mikutano ya kimataifa na kutowa kauli kwa nchi zinazotowa msada kwa TANZANIA kwa kuwambia isiwe sababu kuporomoka kwa uchumi ni watusaidie ulazima huo upo wapi ikiwa wananchi wao wanaolipa hizo kodi na kupewa sisi wamekutwa na ukosefu wa kazi huku wakipoteza majumba biashara familia zao kutengana kwa hali ya uchumi Zaidi kuna wakati RAIS Kikwete alipokuwa anahutubia mataifa makubwa alisubutu kusema eti ni wajibu wao kutusaidia niliona aibu kiasi niliomba ardhi ipasuke ili nipate hifadhi inasikitisha kuona Viongozi wetu wakipata uongozi wanaimani ni wajibu wao kupita pita na kuomba huku wakijisifia eti nchi ipo hivi tuna rasilimali hii naile nchi yetu tajiri utajiri hauonekani majisifu ndio utajiri wetu huku wananchi tunalia na njaa sisi masikini wa mungu tumekuwa tunangalia wenye nguvu na uwezo wakipita na magari ya kifahari na kutwambia etui wanajali maisha yetu kitu ambacho ni uongo ukipita mikowani kama ni binadamu mwenye hisia kwa viumbe wenzio machozi yatakumwagika jinsi mwanchi wa kawaida anaishi maisha hata mnyama porini haishi
 
Unaweza kuporomoka lakini misingi ya kuurudisha mahali pake ipo ni suala la muda tu. Kuanzia technologia, viwanda mpaka nguvu kazi. Sisi tunasema uchumi wetu unakuwa we subiri pale 32% ya bajeti inayotegemea wafadhiri itakapokatika. Tutatembeza bakuli na hakuna atakayetusikiliza na huku tumeacha raslimari zetu watu wakizichota kirahisi kwenda kuimarishia uchumi wao


Yangu macho

Achilia mbali hiyo 32% ya budget tegemezi. Source za mapato ya serikali hapa nchini tayari zinaendelea kupunguwa. Mapato ya importation taxes yameshaanza kupungua kwa kasi na bila shaka mapato ya kodi ya income tax nayo yatakuwa chini kwa kila sekta ya biashara. Sasa serikali pamoja na kudai kuwa mabenki yetu yako protected lakini nayo yataathirika kwa njia moja au nyengine. Budget ya mwaka 2009/2010 itakuwa ngumu sana sijui wananchi watakamuliwa vipi ili serikali ipate pesa.
 
Tanzania to survive global crisis -expert

Prof Semboja
By Damas Kanyabwoya

Tanzania's economic prospects remain positive despite the ongoing global economic crisis, a leading poverty research expert said on Thursday.

Prof. Joseph Semboja from the Research for Poverty Alleviation (Repoa) predicted that the Tanzanian economy would register a growth rate of seven per cent depending on how long the global crisis persists.

"Looking at the economic growth in the last 10 years, we find that it averaged around seven per cent, so this can help us predict the growth this year and some years to come if the economic crisis doesn't prolong," he told reporters.

He warned, however, that the real threat to the economic growth would be droughts, in case rains fail since the economy depends on agriculture.

The expectations are that the crisis would be short-lived based on the ongoing international recovery efforts through bailouts, he noted.

Prof. Semboja echoed the views of the Central Bank Governor, Prof Benno Ndulu, and those of the Minister for Finance and Economic Affairs Mr Mustafa Mkulo, who assured Tanzanians that the country would survive the economic crisis owing to its little connection with the global financial systems.

Prof. Semboja however said that a seven per cent growth rate cannot make a difference on poverty reduction efforts, noting that a 20 per cent growth sustained for a long time is what is needed to r educe poverty.

Repoa has organised a meeting due on April 1 to discuss the current economic situation in the country.

The meeting, which will attract Dr Thandika Mkandawire, a Malawian economics expert, will discuss the government's responsibilities outside its traditional roles in a free economy.

"Governments have roles to play, and in the West we have seen governments assuming roles that were not traditionally theirs, such as nationalizing banks.

We also want to discuss what the government can do to help salvage the economy without replacing the roles of other stakeholders," he said.
The two day meeting, which will be opened by Prime Minister Mizengo Pinda, will be held in Dar es Salaam.

The 14th Repoa meeting will attract about 300 participants from inside and outside the country who will also discuss various research papers on poverty alleviation in the country.
 
Back
Top Bottom