Ulimwengu na nguvu zake

2 of Amerikaz most wanted

JF-Expert Member
Jan 13, 2023
1,328
3,692
Kimsingi au kwa ufupi nguvu inayoendesha (control) na kuleta matokeo ya kila kitu ni moja tu.

Ambapo ili kupata lolote inabidi kwanza kutambua nguvu hii na jinsi inavyo fanya kazi ili kuendana nayo.

Watu wengi wasicho kijua ni kuwa nguvu hii haina Huruma na yoyote na haina Ukatili wowote ule na Haina Upendeleo na yeyote bali itategemea unaitumia vipi au ime kuathiri kwa namna gani.

Ngoja nitoe mfano;- Moto 🔥unapo kuunguza si kwamba moto huo unapenda kukuchoma bali ndio ulivyo. Lakini moto huo unaweza kuivisha chakula na hapo sio kwamba moto huo umeamua kupika lakini ndivyo ulivyo na inategemea umeutumiaje.

Sasa pata picha unapo amua kuuomba moto msamaha eti kwa kua umekuchoma bila kusahau huo moto hauna lolote unalo jua kuhusu swala la kukuchoma🤷

Ndio maisha yetu yalivyo, kimsingi tunapo enda nje ya misingi ya nguvu hii au tunapo poteza connection/Muunganiko na Nguvu hii lazima tuunguzwe haswa (matatizo na maumivu), hapo ndio matatizo yanapo anzia ila wengi hatujui tunaita mikosi na mabalaa lakini sivyo, ukiwa ndani ya nguvu hii utatatua kila kitu, Hata watu wabaya hutumia nguvu hii kufanya wayatakayo kwako. Haina haja ya kuiomba ili upate ulitakalo maana haijui chochote, cha msingi ni kuendana nayo. Kuna watu wanakesha eti wanaiomba nguvu hii iwasaidie, wengine wanafunga na kuomba..hizo ni kelele tupu na kujichosha na kupoteza muda. Unatakiwa kuendana na hii nguvu, yenyewe haijui chochote ni kama moto, ukikosea kuutumia unakuunguza na huwezi kuuomba msamaha eti ukusamehe, moto haujui chochote wenyewe unawaka tu, wewe ndiye unatakiwa kujua jinsi ya kuutumia ili kukufaidisha na si kuuomba au kuusujudia Unapoteza muda

Jifunze jinsi ya kuzitumia hizo nguvu sio kuomba, Wachungaji na manabii hawataki kukuambia ukweli kuhusu hili. Wao wanajua jinsi ya kuzitumia hizi nguvu ili kukupatia utakacho ila hawataki kukuambia ukweli wake. Wale wanaojitokeza na kusema ukweli wanaonekana wasaliti mfano Mzuri ni DP Rwakiunge Lugambwa..

Mfano Hapo ulipo muda huu Yani Katika uwazi huo hapo Kuna moto, Kuna Baridi, Kuna umeme, Kuna Giza, Kuna Nuru, Kuna rangi tofauti na hiyo Nuru lakini nikwajinsi gani hapo ulipo unaweza kupata umeme, moto, Baridi, barafu n. K ? Ni namna gani Utatumia mbinu (teknolojia) gani ili kupata matokeo? Hiyo ndiyo msingi wa kufuata kanuni za kiulimwengu , hapo ulipo Kuna furaha , Kuna utajiri pia Kuna huzuni , Kuna UMASIKINI ni namna gani unatumia njia ipi, kanuni IPO kukupa UMASIKINI au utajiri ama furaha Kama sio huzuni.

Dini zinakuaminisha kuwa tajiri ni vigumu kwenda Mbinguni kuzidi Ngamia KUPENYA Katika tundu la sindano, kauli mbinu hii au FALSAFA hii ndio Bakora inayotucharaza Watu weusi kuendelea kuwa masikini tukiamini ni Bora niwe masikini duniani ili nikaishi kwa FURAHA mbinguni/peponi🤔.

Ngozi nyeupe ilijua hapo utakuwa bize na KANISA, MSIKITI wakati wao wakiwa bize na kanuni za ulimwengu Kama kutafuta pesa , kufanya majaribio, kutafuta masoko na Uthubutu. MATAJIRI wanafuata kanuni za kiulimwengu mfano sheria ya 5&7 Yani WANAVUTA vitu VIZURI KUJA kwao(the law of attraction) na Sheria ya Chanzo na madhara (the law of karma) wanajua Nguvu uitumayo ndivyo ikurudiavyo na ziada kidogo Yani what goes around comes around hapa utaona wanavyotoa Misaada, sadaka n. K lakini wanaufahamu juu ya UKIRIHO wa kweli wanaufahamu Siri tunayofichwa misikitini na makanisani Kwamba Jadi, Mila ni ushirikina ni kukufuru ni shiriki ni uchawi ni dhambi Mungu hapendi , WALIJUA KUWA ukiishiriki Jadi yako utapata majibu ya maswali na shida zako na utafanikiwa na hutoabudu miungu yao isiyonaubini na wewe haikujui hata kwa 1%.

👁️Wewe bakia kumtafuta Mungu nje yako wakati yupo ndani yako na ni wewe yule wa ndani Yani unaotafuta ufunguo nje yako wakati upo mfukoni mwako Kwa hakika unamacho Ila huoni

👁️Wewe endelea kumkemea shetani na kumuogopa na kulalia biblia/msahafu wakati shetani ni ukinzani ni Chanya na Hasi, ni furaha na huzuni, ni juu na chini, ni Leo au kesho , ni Giza ama Nuru, ni jike ama dume ni Mungu ama shetani Yani ni wema au ubaya na vyote vipo Katika uwezo wako, utashi wako n. K

👁️Wewe endelea kutafuta Pepo na kupoteza muda mwingi wa kufanya kazi hata kuwatenga ndugu na Jamaa zako eti unamjua Allah/Yesu/umeokoka bilakujua peponi ama motoni ni hapahapa Duniani nijinsi gani unazitumia hizo nguvu za Asili a. K. a Mungu Katika Dini zao

Usipoteze muda...👀

🖌️Naligia Mninoi.. ✍️
 
Ur the true son of your father. Popote pale ulipo kama unakunywaga mvinyo nenda kwenye bar iliyo karibu nawe and tell the waitress to give you two bottles of wine and two females halafu talaka ( hili) ntalipa mimi.
 
Unaamini uwepo wa Mungu Mwenyezi sio hawa ngombe, sanamu yanayoabudiwa sasa.

Mungu muumba wa vyote. Kama utakubali basi tutakuwa sambamba kwa hoja yangu.

Kwanza ni kweli kuwa Mungu baada ya kuumba vyote alimpatia mwanadamu akili, maarifa na hisia ili awe msimamizi ktk ardhi.

Ni bahati mbaya sana wanadamu badala ya kufata mwongozo; wao wanaotegemea tena Mungu awafanyie mambo ambayo si Mungu kazi yake.
Naamini Mungu inabidi atushangae tu na kutuhurumia.
Kwa ufupi mambo mengi tunayomuomba Mungu sasa hawawezi kutibiwa kwa kuwa si wajibu wake.

Mpango wa Mungu kwa mwanadamu ni usimamizi na udhibiti na ulinzi wa jamii yako.

Sasa wafuasi wa dini watakwambia usituletee siasa, siasa haifai.

Hii maana yake jamii hiyo inajiondoa kuwa ktk usimamizi, ulinzi na kuthibiti uchafu wwt kuanzia mtaani kwake.

Universe- m.mungu
Universal- ni uislam.

Lkn si huu munaouona au kuusikia.

Huu uko contaminated.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom