Ulianzaje anzaje kuvuta sigara?

Winga dalali

Senior Member
Jul 20, 2021
192
263
Part one

Kiukweli,hata Mimi sijui nilianza lini,

naandika Uzi muda huu nikiwa nimewasha portsman kusindikiza muda uende kama kiburudisho. Kiukweli uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya kama ilivyo kwenye matangazo katika pakiti zake.

lakini ni nani awezaye kukana arosto yake kisa maandishi ya font size 22 " ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO" Ki uhalisia ni mwaka wa 9 toka nilipoonja chiga yangu ya kwanza nikiwa secondary just for vibe (ujana wa kujaribu vitu,real scientist) ,,,,nliendelea na tabia hyo kwa kujificha sana hata rafiki zangu wa karibu walikua hawajui,

pia nilikua nanunua na kuvuta mitaa ambayo siishi wala hawanifahamu, Kuepusha kukutana na wanaonijua maana sifananii,na nilikua naaminika sana as a bright kid kulingana na uwezo wangu darasani.

Days zikaenda na kuenda mpk Nilipofika advance Ndio gari likaanza Kuchochea kipindi chote, nilikua natumia SM Mara moja moja ,nlpofka advance nkapata company ya smoking aisee .....Ubalozi ulichomwa sana bila stress ukizingatia pocket money ipo pakit 2 kitu gani zkikaa ghetto,,,, but still sikua na chaguo maalumu la sigara hvyo nilitumia more than 4 types of cigarettes.

After advance as a soldier to be ikanilazimu kuingia kambi mkoa wa machalii aisee the place was extremely cold.....na zile pitshot nkapata mdau kutoka Iringa (kamwene)

The nigga was the real meaning of chainsmoker pale nikapata Mpenzi (PORTSMAN KING).....
Nkaacha kua malaya wa chiga. Nikazimia kwa portsman tulinununua pakiti na pakiti duka LA jeshi mpka zikawa highly demanded maan zilikua zinawahi kuisha kuliko before,
na maafande wala sport wanajuana lakini kila mmoja akimuomba mwenzake chiga Hana sasa nani ananunua na dukani zimeisha ( story ya Siku nyingine) of course tulivuta fegi huku tumesimika,,

,life likaendelea pale kambn huku mm na Kamwene boy tukijipa utawala sana na kwenda kula fegi porini. Course ikaisha wahuni mtaani.

aisee from that moment onward portsman au spoti OG imekua sehemu ya daily routine 10-15 cigarette per day...........
 
Jitahidi kunywa maziwa and pray to God as to be detached from demons 🙏🏻
 
Cigarettes are highly addictive
Mkuu asikuambie mtu
Nimevuta miaka 44 nilianza nikiwa mdogo sana
Sababu ni kujihusisha na watukutu ila niliendelea kwa mda wote huo kwa mapenzi yangu mwenyewe

Nikaenda kwenye nchi ambayo wanaume % kubwa sana ni wavutaji yaani kila unapopita kuna wanaovuta fegi

Nimekuja kwenye nchi nyingine tena ambayo wanaovuta ni wachache
Siku moja nikasema hii ndio iwe sigara yangu ya mwisho na ikawa hivyo
 
images.jpeg
 
Mimi siku ya kwanza kabisa mwaka 2005 mwezi wa sita nikiwa Kwa mjomba wangu nilikuwa nakaa nawashikaji wanaovuta skuli ila Mimi simoki ..ila siku walikuwa hawana Hela ya mpepe nikawapa elfu 2 wakaenda nunua nikawaambia wanipe za buku ..kesho yake ilikuwa jumamosi sijui ni shetani Gani asee nikatoka nikaenda shop nikanunua zedi na sigara spot nikaja nikatoa kitu nikaaza moko nikala fegi na zed aseee hiyo vibe niliyopata sio poa ..Yani mpaka leo namoka nakunywa k vant .a sigara Embassy sport niliacha 2014.
 
Mkuu umeandika maneno mengi na wewe.
 
Pombe na fegi aisee znatembea kinoma
 
Cigarettes are highly addictive
Mkuu asikuambie mtu
Nimevuta miaka 44 nilianza nikiwa mdogo sana
Sababu ni kujihusisha na watukutu ila niliendelea kwa mda wote huo kwa mapenzi yangu mwenyewe

Nikaenda kwenye nchi ambayo wanaume % kubwa sana ni wavutaji yaani kila unapopita kuna wanaovuta fegi

Nimekuja kwenye nchi nyingine tena ambayo wanaovuta ni wachache
Siku moja nikasema hii ndio iwe sigara yangu ya mwisho na ikawa hivyo
One day,I'll stop
 
Part one

Kiukweli,hata Mimi sijui nilianza lini,

naandika Uzi muda huu nikiwa nimewasha portsman kusindikiza muda uende kama kiburudisho. Kiukweli uvutaji wa sigara ni hatari kwa afya kama ilivyo kwenye matangazo katika pakiti zake.

lakini ni nani awezaye kukana arosto yake kisa maandishi ya font size 22 " ONYO UVUTAJI WA SIGARA NI HATARI KWA AFYA YAKO" Ki uhalisia ni mwaka wa 9 toka nilipoonja chiga yangu ya kwanza nikiwa secondary just for vibe (ujana wa kujaribu vitu,real scientist) ,,,,nliendelea na tabia hyo kwa kujificha sana hata rafiki zangu wa karibu walikua hawajui,

pia nilikua nanunua na kuvuta mitaa ambayo siishi wala hawanifahamu, Kuepusha kukutana na wanaonijua maana sifananii,na nilikua naaminika sana as a bright kid kulingana na uwezo wangu darasani.

Days zikaenda na kuenda mpk Nilipofika advance Ndio gari likaanza Kuchochea kipindi chote, nilikua natumia SM Mara moja moja ,nlpofka advance nkapata company ya smoking aisee .....Ubalozi ulichomwa sana bila stress ukizingatia pocket money ipo pakit 2 kitu gani zkikaa ghetto,,,, but still sikua na chaguo maalumu la sigara hvyo nilitumia more than 4 types of cigarettes.

After advance as a soldier to be ikanilazimu kuingia kambi mkoa wa machalii aisee the place was extremely cold.....na zile pitshot nkapata mdau kutoka Iringa (kamwene)

The nigga was the real meaning of chainsmoker pale nikapata Mpenzi (PORTSMAN KING).....
Nkaacha kua malaya wa chiga. Nikazimia kwa portsman tulinununua pakiti na pakiti duka LA jeshi mpka zikawa highly demanded maan zilikua zinawahi kuisha kuliko before,
na maafande wala sport wanajuana lakini kila mmoja akimuomba mwenzake chiga Hana sasa nani ananunua na dukani zimeisha ( story ya Siku nyingine) of course tulivuta fegi huku tumesimika,,

,life likaendelea pale kambn huku mm na Kamwene boy tukijipa utawala sana na kwenda kula fegi porini. Course ikaisha wahuni mtaani.

aisee from that moment onward portsman au spoti OG imekua sehemu ya daily routine 10-15 cigarette per day...........
Nilikua nauza duka la kaka angu hapo panauzwa sigara tu ndipo nilipojifunzia kuna kipind naweza kukaa hata miaka mitatu lkn baadae narud tena
 
Yote ya yote usiombe upate arosto usiku ya kuchoma, na hauna fegi
wapo wanangu marafiki wamekua addict wa chiga kwa sababu yangu but ni watu wazima sikuwawekea mdomoni..

(mauza uza....tulisema wasichome wamechoma wamenasa... )

pamoja na uvutaji wangu wote wa sigara
1.siwezi kuvuta huku natembea,au hadharani kwenye public ya watu I don't get it comfortably
2.sipendi kugongea/wa fegi hua nakua na pakiti kwa ajili ya kumpa nzima anayetumia.

Pia hasara ni nyingi sana kuliko faida

1.kupoteza/kuleta dosari katika mahusiano sababu ya fegi

2.kupoteza muonekano na ung'avu wa ngozi

3.kuhatarisha afya ya mapafu

4.loss of appetite ,weight loss
pia inapoteza muda sana ukiwa chronic unaweza kuta unasubiri daladala au unamsubiri mtu unaona bora ujiibe dk 5 ukapulize kurudi dalaladala ishaondoka au imejaa ,au mtu unayemsubiri kafika we ndo umewasha .

Nawashauri na kuwaasa vijana waache matumizi ya sigara.
hata Mimi najiuliza ntaachaje but anyways "KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI"
 
Kuvuta sigara ni moja ya jambo nililowahi kujaribu miaka ya nyuma kidogo kipindi nipo masomoni kwenye moja ya Mkoa wa Nyanda za juu Kusininl.
Shule ya boarding niliyosoma, Maji yalipokosekana tulilazimika kwenda mtoni/ bwawani. Nikiwa huko, rafiki yangu Uswege ndiye aliyenifundisha. Nilitokea kuipenda SM. Nilijifunza na utumiaji wa pombe, ambapo ilifika wakati pombe ikikolea na kiu ya sigara nayo inakolea.
Sikutumia muda mrefu katika uvutaji wa sigara nikajikuta nimeachana nao.
 
DAH FEGI ILINIKATAA JUZI NIMEPIGA CLICK MBILI DAH KILICHO NIPATA NI FEDHEHA ILA KWA WEED NI MPAKA KIFO SIWEZI ACHA
 
Back
Top Bottom