Ulevi wa Madaraka ni tatizo kubwa

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,148
7,724
Njia pekee ya kuondokana na ulevi wa madaraka ni kuwa na hofu ya Mungu.

Ukimkuta kiongozi ana kiburi na kuwadharau wengine jua kuwa huyo hana hofu ya Mungu.

Ili kiongozi awe mnenyekevu na mwenye huruma kwa walio chini yake basi anapaswa awe ni mcha mungu na mwenye hofu ya Mungu.

Uadilifu unatokana na uchamungu, hofu ya Mungu.

Baadhi ya viongozi wengi hawana hofu ya Mungu hivyo wanakosa uadilifu ambao chanzo chake ni hofu ya Mungu.

Tujitahidi kwenda Makanisani na Misikitini kupata neno la Mungu ili tuishi kwa namna inavyo mpendeza Mungu.
 
Njia pekee ya kuondokana na ulevi wa madaraka ni kuwa na hofu ya Mungu.

Ukimkuta kiongozi ana kiburi na kuwadharau wengine jua kuwa huyo hana hofu ya Mungu...
Bashite ukimkuta kanisan hutaamini ndo ananyofoa roho za wapiga kura
 
Hivi hofu ya Mungu ndio ipoje ? Mana mnataka viongozi wenye hofu ya Mungu, Wake/waume wenye hofu ya Mungu pia,
 
Back
Top Bottom