Ule Uzi wa Saa 1 Ijumaa wa GENTAMYCINE aliyesema matokeo ya Yanga na Mwarabu ni ama 2-0 au 3-0 umepotelea wapi?

Matokeo ya leo imedhibitisha simba ilihujumiwa ..wachezaji walikula pesa kupitia viongozi wa simba ambao ni machipukizi ya yanga..yanga sio ya kuifunga simba bao5
Nenda kaandamane ukiwa na bango, eti Simba siyo ya kuifunga simba bao 5 , hiyo ni kwa mkataba upi mliosainiana na wababe wenu.
 
Na tulishawaambia mara kadhaa, this time around ukitolewa CAFCL hakuna kushuka CAFCC. Uto walizoea kitonga sana kule kwenye kombe la walioshindwa.

Ukweli mwingine mchungu:YANGA HAMUENDI ROBO FAINALI.
Kwenye mpira kila kitu kinawezekana, msimu uliopita kwenye CAFCC yanga alichezea chuma mbili kwa mtungi dhidi ya Monastir lakini mwisho wa siku alivuka kwenda robo mpaka kufika fainali. Sasa unavyotoa kauli kuwa ukitolewa CAFCL hakuna kushuka CAFCC, ni wazi hujui ni kwa wakati gani hiyo huwa inatokea. Yanga hajatolewa CAFCL na ndio maana unamuona anacheza CAFCL hatua ya makundi ujue na sheria na kanuni za mashindano zipoje.

Kama uliangalia mpira, utaona Yanga kwa upande wa performance walikuwa wazuri ila nidhamu ya kumuheshimu mpinzani ilikuwa chini, na pia kutokuwepo kwa Diarra ambaye anaweza kuwafokea mabeki wake, anaweza kwenda na move ya mchezo, anaweza kuwapanga mabeki wake na kuwakumbusha majukumu yao kumechangia pa kubwa.

Atayeweza kuhakikisha point 9 nyumbani kwake ndiye atakayekuwa salama kusonga mbele. Mechi ya Belouizdad na Al Ahly itakuwa ni za moto kote kote home and away.

Yanga wanatakiwa kuhakikisha wanashinda mechi zote za nyumbani, mpira ukijizatiti kwenye mbinu na ufundi hakuna kisichowezekana kama una wachezaji walio na uwezo.
 
Bango jipya mjini
20231125_085353.jpg
 
Hii Yanga inayotoa 5G leo ya kupigwa 3-0?
Mtakumbuka medali za shirikisho na kucheza shirikisho.
Msimu ujao mkacheze shirikisho kwa kiwango chenu mngechukua kombe kbsa.😁😁😁😁😁
Ila haifuti ukweli kiwa walitukanda sisi 5imba mkuu. Naona sasa sisi watoro wa rage tunajifariji kwa Yanga kufungwa. Tuimarishe timu yetu na tuachane na usage.
 
Na naukumbuka tena kama kawaida yake Alifumba na Kuuliza / Kutuuliza je, tunadhani ni Timu gani kati ya Yanga SC na CR Belzoud FC itafungwa Magoli hayo ama 2 kwa 0 au 3 kwa 0?

Team GENTAMYCINE tunauhitaji huo Uzi ili tuweze Kuuchangia na kumpa Maua yake GENTAMYCINE ambaye pamoja na kwamba tunamchukia (nami nikiwemo) na Kazuiliwa Kuchangia Jukwaa hili la Michezo ila kiukweli Jamaa Kabarikiwa Talanta ya Kipekee na Mwenyezi Mungu ambayo wengi wetu hatuna na huenda ndiyo maana hata tunamchukia kwa Wivu, Roho Mbaya zetu na Kukubalika Kwake sana hapa JamiiForums.

Huo Uzi aliuanzishia katika Jukwaa la Habari na Hoja Mchanganyiko pengine kutokana na kuzuiliwa Jukwaa la Michezo ila kwa sasa nautafuta siuoni hivyo naomba aliyemuona anitagi tafadhali.

Salute mno tu Kwako GENTAMYCINE.

Badilisha kichwa cha habari andika "Matokeo ya yanga na Belouizdad, ukiandika mwarabu nani atajua ni Belouizdad!!! Halafu pia sio sahihi kuwaita hivyo

Belouizdad na mwafrika!! Tutajisikiaje likitamkwa na wao!!
 
Ila haifuti ukweli kiwa walitukanda sisi 5imba mkuu. Naona sasa sisi watoro wa rage tunajifariji kwa Yanga kufungwa. Tuimarishe timu yetu na tuachane na usage.
Kwani 5-1 za Yanga zinaondoa ukweli kuwa nawe Simba alikukanda 5-0? Topic mezani ni kipigo cha kuwakaribisha CL
 
Na tulishawaambia mara kadhaa, this time around ukitolewa CAFCL hakuna kushuka CAFCC. Uto walizoea kitonga sana kule kwenye kombe la walioshindwa.

Ukweli mwingine mchungu:YANGA HAMUENDI ROBO FAINALI.
Tutunze tu kumbukumbu mkuu ukiwemo huu ukomenti wako
 
Ila haifuti ukweli kiwa walitukanda sisi 5imba mkuu. Naona sasa sisi watoro wa rage tunajifariji kwa Yanga kufungwa. Tuimarishe timu yetu na tuachane na usage.
Kama Yanga ni timu nzuri sasa kwanini imefungwa 3-0?
Wangefungwa ilikuwa ni bao 1 tu. Tatizo la Yanga wanacheza mpira kushindana na Simba na kujilinganisha na Simba Sasa wewe goli 5 za Simba zimekusaidia nini wakati umeenda kupigwa 3-0?
Mtazikumbuka medali za shirikisho😁😁😁😁😁
 
Zimenisaidia kukaa kilele kwenye NBC Premier league.
 
Zimenisaidia kukaa kilele kwenye NBC Premier league.
Sawa baki hapo hapo NBC. Mlipoifunga Simba 5 kwa 1 mlitegemea nao mtawafunga 5? Ila hongera! Jana mecheza mpira sana
Al Ahly naye anakuja kupiga kwenye mshono 4-0
Kwanza hao CR hawajacheza fainal ya shirikisho wala haina medali kwahiyo wasiwababiishe
 
Ngoja Moderator waunge hizo Id ndio akili itakaa sawa. Badala ya kubadili Aina ya uchangiaji, una circumvent ban kwa kufungua mi ID yenye tabia zile zile.
Pathetic!
 
Buku 5 zinapendeza zaidi kuliko buku 3 View attachment 2824504

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ukiifunga Simba ndiyo umekuwa umecheza Champion League na African Super Cup.
Ndiyo maana ushindi wenu mlisheherekea sana. Timu ndogo na changa duniani kisoka ndiyo hufanya kama Yanga kuweka mabango
Unaifunga timu 5 - 1 halafu unaenda kupigwa 3-0. Sasa hapo utasema una kiwango? Ungefungwa sana ni 1-0 au 2-1.
 
Kwani 5-1 za Yanga zinaondoa ukweli kuwa nawe Simba alikukanda 5-0? Topic mezani ni kipigo cha kuwakaribisha CL
Highlights za 5-1 za Yanga zinanoga bhana, 2023 hakuna kadi nyekundu 2, hakuna penati 2 mwaka 2012wala hakuna mbeleko ya kuwanyima penati Yanga kama ninyi mlizowanyima Yanga juzi ilibidi mkandwe 6-1.

Marehemu alikuwa na mdomo sana
JamiiForums1683832807.jpg

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom