Ukweli wa juu ya maana ya neno CCM angalia Video:Kanisa katoliki na siasa za Kitanzania – mawaidha

Du nitarudi baadae maana huyo mtoa mada tu hata hiyo YouTube siifungi ng'o
 
hahahhahhaahaha ustaaadh anapotumika kutangaza neno na Yesu bila kujijua . Kweli hii dunia ina maajabu


Hii nadhani ipelekwe kwe jokes maana hata kwenye dini haimo.
 
sihawa watu wafungue chama chao tuone zile pointi wataongea katika kujenga taifa na kuimarisha uisilamu wao.
 
Video nyengine
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom