Ukweli usemwe, Mayele na Fei toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya Soka la kimataifa

Ukweli usemwe tu Mayele na Fei Toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya soka la kimataifa, kabla yao kwa miaka mingi yanga ilikua mchicha mwiba timu zilikuwa zinajipigia tu

Najua mashabiki maandazi watoto wa juz walioanza kushabikia mpira juzi hawaez jua watasema chambuzi la CAF nazingua, sisi wakongwe wala hatushangai tunajua walioileta Yanga mjini ni kina nani

Kabla ya Mayele na Fei Toto kama sikosei simba ilishachukua ubingwa karibu mara tano mfululizo, ilifikia mahali simba inatafuta mtani wa jadi Afrika Kusini nk hata klabu bingwa Yanga ilikuwa inaishia hatua ya awali kabisa ilikua haifik hata makundi

Hawa jamaa waliipigania sana Yanga kwa jasho na damu ila inaonekana yanga badala ya kuwajengea masanamu ya heshima imewatupia majini
View attachment 2926516
duh kwahiyo ni wao waliotoa fedha kuijenga yanga?
 
Bhange....
 
Pumba tupu.

Mayele na Fei Toto walikuwa wa ajili Lana wapi kabla ya kuja Yanga.

Unaondika kama una tumbo la kuendesha
 
Ukweli usemwe tu Mayele na Fei Toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya soka la kimataifa, kabla yao kwa miaka mingi yanga ilikua mchicha mwiba timu zilikuwa zinajipigia tu

Najua mashabiki maandazi watoto wa juz walioanza kushabikia mpira juzi hawaez jua watasema chambuzi la CAF nazingua, sisi wakongwe wala hatushangai tunajua walioileta Yanga mjini ni kina nani

Kabla ya Mayele na Fei Toto kama sikosei simba ilishachukua ubingwa karibu mara tano mfululizo, ilifikia mahali simba inatafuta mtani wa jadi Afrika Kusini nk hata klabu bingwa Yanga ilikuwa inaishia hatua ya awali kabisa ilikua haifik hata makundi

Hawa jamaa waliipigania sana Yanga kwa jasho na damu ila inaonekana yanga badala ya kuwajengea masanamu ya heshima imewatupia majini
View attachment 2926516
Asante kwa kulewa
 
sio mayele wala fei Bali Uongozi mzuri ndiyo umeipaisha yanga .
Mpira sio tennis useme mchezaji mmoja au Wawili ndiyo wanacheza na vilevile unatakiwa kujua mchezaji ni mtumishi kama watumishi wengine , analipwa afanye kazi sio amateur.

Na mayele alibebwa na mfumo wa Nabi na benchi lake la ufundi aka ng’ara , sasahivi ameshuka Kiwango .
 
Ukweli usemwe tu Mayele na Fei Toto ndio walioileta Yanga kwenye ramani ya soka la kimataifa, kabla yao kwa miaka mingi yanga ilikua mchicha mwiba timu zilikuwa zinajipigia tu

Najua mashabiki maandazi watoto wa juz walioanza kushabikia mpira juzi hawaez jua watasema chambuzi la CAF nazingua, sisi wakongwe wala hatushangai tunajua walioileta Yanga mjini ni kina nani

Kabla ya Mayele na Fei Toto kama sikosei simba ilishachukua ubingwa karibu mara tano mfululizo, ilifikia mahali simba inatafuta mtani wa jadi Afrika Kusini nk hata klabu bingwa Yanga ilikuwa inaishia hatua ya awali kabisa ilikua haifik hata makundi

Hawa jamaa waliipigania sana Yanga kwa jasho na damu ila inaonekana yanga badala ya kuwajengea masanamu ya heshima imewatupia majini
View attachment 2926516
It is the other way round. Mayele na Fei wanepatia umaarufu wao Yanga. Kama unabisha huko walipo wamefanya maajabu gani na Yanga iko wapi? Kabla ya kuja Yanga walikuwa na huo umaarufu? No.
 
Feitoto huyu huyu ambaye hakucheza mechi zaidi ya 10 na Yanga ikachukua ubingwa wa ligi, kombe la Azam shirikisho na kwenda fainali CAFCC?
 
Back
Top Bottom