Ukweli usemwe mapro wamemaliza mpira wa kizamani wa anaoanao

Braza Kede

JF-Expert Member
Nov 1, 2012
1,874
3,605
  • Wachezaji mapro wamebadili sana soka safi kuwa la kuonekana na kuvutia.
  • Focus ya mchezo imekuwa ni matokeo kwa timu na sio mbwembwe za kishamba za anaoanao.
  • Soka safi la kisayansi la kitabuni.
  • Viwango vya wachezaji wa ndani vinapanda maana wanajifunza kwa wenzao maintanesho.

NB, Uzi hauusiani na matokeo ya jana.
 
Back
Top Bottom