Ukweli uliofichika kwa Dunia ya Leo

Karibu sana mzabzab kumtumikia Mungu kuna faida sana.

Nilikuwa naongea na mfanyakazi mwenzangu saa mbili kama na dk 40 asubuhi, inafika saa tatu na dk tano napigiwa simu mtu kafaaa.. nikasema oooh maaai.. sina changu duniani acha nimtumikie Mungu.. mtu mzima unaweza ukawa chochote na mda wowote bora kuwake hadhina mbinguni ambapo kutu haiwezi haribu wala wevi kufika na kuiba
Kafa kivipi tena
 
Mtanyukana sana. Ila mm naamini kabisa kuna binadamu wanaindesha hii dunia, nao ni wazungu wenye fedha zao. Wakisema hii ni nyeusi wakati inaonekana kabisa ni nyeupe basi watatumia gharama yoyote kuiaminisha dunia hivyo. Sasa mtachagua muamini au mgawike maana lazima wasepe na kijiji.

Dunia inakadiriwa kuwa na miaka 14 billion na watu 8 billion. Kila mtu apambane na afanye kwa kadri anavyoona ni sawa. Hatuwezi kuwa sawa na kuwa na imani sawa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom