Ukweli kuhusu ufalme wa Babeli

Huu mti nakumbuka kulikua na mtihani wa mock wa shule ya msingi
sasa kuna mwalimu kaja kutusimamia mnoko kishenzi mtihani wa kwanza kakaba hadi penati no chabo no kuibia

mtihani wa pili kuna mtu kaja na mbegu zake kazivunjia pale mbele ya darasa yule mwalimu akaingia baada ya kugundua akasema "HAPA HATA MUWEKE MAVI SITOKI MBUZI NYIE"

nilicheka mpaka hapa nacheka tu
mkuu hata mimi umenifanya nicheke
 
yaani nimecheka balaaa.... hahahahahahaa
 
hiyo bustani inasemekana haikuwa inaelea kama inavyofahamika na wengi ,but ilijengwa katika muundo wa kama ngazi fulani hivi na ilikuwa ni zawadi kutoka kwa mfalme debkadnez kwenda kwa mkewe,yaani aliijenga mahususi kwa ajili ya mkewe,ilikuwa imepangiliwa vizuri mno huku ikisemekana kuwa ilikuwa na kila aina ya mmea unaoujua hapa duniani

inasemekana umeziweka nyiiiiingi...kumbe uthibitisho huna
 
Hanging Gardens Existed, but not in Babylon - History in the Headlines
hith-Hanging-Gardens-of-Babylon-E.jpeg
 
Kuna mti flani unaitwa mmavmav sidhani kama ulikuwepo hapo bustanini vinginevyo malkia asingepumzika humo, maana harufu yake hata choo cha soko pana afadhali.
hahahahahahahah kuna watu mnanichekesha mpka machozi yan, ko wife wa mfalme angedata au sio
 
Wasalaamu ndugu wana jf.
Jamani nataka kuelewa machache kuhusu huu ufalme, inasemekana huu ufalme ulikuwa ufalme wenye nguvu zaidi kuliko falme zote duniani na inasemekana pia ulitawala dunia yote chini ya mfalme Nebukandneza, je ulitawala na afrika yote mpaka kusini mwa jangwa la sahara maana ulitawa dunia yote.
Pia inasemwa kuwa kulikuwa na bustani inayoelea, je ilikuwa inaeleaje na ilikuwa bustani ya maua au mbogamboga maana bustani zipo za aina nyingi.
karibuni wajuzi wa mambo haya.
Hahahahahahaaaa hyo salamu aisee imeniacha hoi kbsa....
 
Africa haikuwa inafahamika. Walitawala huko huko middle east. Kumbuka early civilizations zilianzia huko
 
Wasalaamu ndugu wana jf.
Jamani nataka kuelewa machache kuhusu huu ufalme, inasemekana huu ufalme ulikuwa ufalme wenye nguvu zaidi kuliko falme zote duniani na inasemekana pia ulitawala dunia yote chini ya mfalme Nebukandneza, je ulitawala na afrika yote mpaka kusini mwa jangwa la sahara maana ulitawa dunia yote.
Pia inasemwa kuwa kulikuwa na bustani inayoelea, je ilikuwa inaeleaje na ilikuwa bustani ya maua au mbogamboga maana bustani zipo za aina nyingi.
karibuni wajuzi wa mambo haya.
Mimi naamini kuwa Neno Dunia Yote katika Biblia hasa wakati wa falme halikumaanisha km unavyofikiria sasa hivi... Lilikuwa na maana Utawala tu ulipoishia... Tena wakishajiona hakuna Taifa linaloweza kuwafikia kinguvu
 
Huu mti nakumbuka kulikua na mtihani wa mock wa shule ya msingi
sasa kuna mwalimu kaja kutusimamia mnoko kishenzi mtihani wa kwanza kakaba hadi penati no chabo no kuibia

mtihani wa pili kuna mtu kaja na mbegu zake kazivunjia pale mbele ya darasa yule mwalimu akaingia baada ya kugundua akasema "HAPA HATA MUWEKE MAVI SITOKI MBUZI NYIE"

nilicheka mpaka hapa nacheka tu
duh..hiyo kali sana
 
Back
Top Bottom