Ukweli kuhusu ATCL Boeing 787-8

Kwa Ethiopia kununua huo mtumba kwa kwa bei ya juu siyo rahisi watakuwa wameokota kwa 99 m$
Walitoa oder ya ndege 6 kwa gharama Za $2.04b
Fanya mahesabu ndege moja iligharimu Kia so gani?

Acheni ushabiki usio na maana
 
Wewe unayekijua umenizidi nini mimi!?

Ha ha haaaaa

Ungetumia ka akili kidunchu husinge bwabwaja eeeeeeh, furahia kiingilishi chako hicho

Vipi juzi hukuguswa na yale maana, unaponda sana ya serikali hii na kumuonea wivu Mheshimiwa wetu mpendwa.

Watu wanapemda fitina na majungu dah, issue hapo, ni fuel consumption, usage na rekiability. Ethiopian Airline na Japan ni wajinga kuliko sisi? Acheni hizo. Kwanza kampuni ya ndege kubwa kama hiyo haikubali kashfa hata maana hizi ndege zikija huku zinapandwa na watu wote wakiwemo Wamarekani.
 
Watu wanapemda fitina na majungu dah, issue hapo, ni fuel consumption, usage na rekiability. Ethiopian Airline na Japan ni wajinga kuliko sisi? Acheni hizo. Kwanza kampuni ya ndege kubwa kama hiyo haikubali kashfa hata maana hizi ndege zikija huku zinapandwa na watu wote wakiwemo Wamarekani.

Kwa nini umeniquote na yako haya!?
 
Sasa unakataaje hakuna harufu ya ufisadi?
Yawezekana Serikali imenunua kwa $99M lakini wakatuambia $Zaid ya 200M ambapo ni mara mbili zaidi.....


Hapa wakuelewe tu kuku wa lumumba, shame on you

Kupigwa tumepigwa... Haina mjadala
 
Sasa ndio nimeanza kuamini kuna baadhi ya watu wanalipwa kwa kuzusha mambo humu na wengine kuwa vibaraka wa watu mule Bungeni
 
Kinachotugharimu watanzania Viongozi wetu wanajua kila kitu na sisi Wananchi tunajua kila kitu ndo tatizo
 
Ndege hizi walikutana Director wa Boeing ikilu ni faragha yaani private meetig.Jamaa wa Boeing kaja na silaha..zake vitabu na picha za boeing 787 8 ..jamaa akasifiwa....kutoka na kumaliza deal tayari....sasa phd ya korosho wapi na wapi na ndege.Kwa ufupi hizi 787 8 zime fail kutokana na mambo mengi ikiwamo uzito umeme na engine kuwaka moto.Kampuni nyingi walizirejesha Boeing kuona hivyo wakazifanyia modification kuondoa tatizo la engine kuwaka..na pia wakapunguza bei kuwa 100m badala ya 225m Dolari.Sasa hivi hakuna production ya 787 8 series wanauza zile zile zilizo kataliwa kwa kufanya modification Sisi order tumetoa Dec 2016 na June 2017 iko ready ..hii ni wazi sio mpya...za zamani zipo kweye modification
Yale yale ya Mv Dar es salaam.
Afrika hakuna mitume....wote wapiga deal...100m $ tunajaza vitabu vya
Pyhsics
Chemistry
Biology
Maths
Economics
Shule zote za serikali na chenji inabaki
 
Ukweli utakuja kujulikana ndege itakapoanza test flights kama ni hii au siyo hii.KAma ni terrible teen ina maana kwa bei wanayosema tungeweza nunu terrible teens mbili na chenjo tungenunua ATR 72 moja cash.Usicheze na wazungu watu wa sales wako aggresive vibaya sana na hii ni general sio case ya ndege pekee hata mambo kama software kubwa.Nimeattach picha za moja ya terrible teen yenye configuration Y360 na serial number 35508 inayosemekana tumeuziwa.Picha ya pili ilipigwa ikiwa imepaki nje kabla ya kupata mnunuzi na ya pili ikiwa ndani tayari kwa modifications.Tuwe na subira labda sio yetu kauziwa mwingine

tererrible_teen2.jpg
TERRIBLE_TEEN19.JPG
 
Ikiwa ni kweli tumepigwa hii itakuwa ni aibu kubwa sana na ni dharau kwa nchi maana tumembiwa mara nyingi nchi imejaa wapiga deal. Sasa tutamwamini nani kama deal hii itakuwa imepigw kwa staili ya aina yake toka ikulu. Ikumbukwe kuwa wakati wa lada mambo yalianza kama hivi hlf serikali ikakanusha baadae mambo yalipolipuka ndiyo chenchi ikarudi baadae wakapiga nyingine deal ya chenchi ya lada tukaambiwa vinanunuliwa vitabu na madawati nchi nzima!! Lkn hadi leo baadhi ya wabunge wamesema hawajawahi ona madawati ya change ya lada kwenye majimbo yao na hela ilishakwisha. Sasa ikithibitika ni kweli ndege hii tumepigwa sijui ni nani atakaetolewa kafala safari hii

Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
 
Latest order inaonekana ni Production Line no 612 (Japan Airlines), hiyo PL no. 719 wameitoa wapi? Aisee, hapa kuna ufisadi unafukuta. Ningeshauri serikali wawe honest tu kwamba wamechemcha ili warekebishe na hela irudishwe au isilipwe yote, kuendelea kutetea hili kama ikithibitika ni kweli tumeingizwa chaka, maana yake tumepigwa!!

BTW: Production Line 19 katika list niRwanAir order (baadaye Tanzania Order??)

https://m.planespotters.net/production-list/Boeing/787?p=12
 
Ukisoma taarifa mbalimbali ikiwemo Boeing wenyewe ndege hizi zimewekewa price listing ya $224 , lakini bei zake halisi zimepunguzwa ili kuvutia wateja. Katika msingi kama huu kuna uwezekano kuwa Boeing na serikali ya Tanzania walikubaliana bei ya chini tofauti na bei ya Tangazo lakini pia wakaamua wasipublish bei hiyo ya makubaliano ili kulinda heshima ya ndege kibiashara.
Sina hakika sana na hili ila ni mawazo na mtazamo wangu binafsi kuwa kama ukiuza au ukanunua bidhaa kwa nusu bei ya thamani yake kuna uwezekano mkubwa ukashusha heshima ya bidhaa hiyo na pengine kuwapa watu walakini wa usalama wa matumizi yake na hivyo kushindwa kupata abiria, na pengine hata kwa kampuni nzima na hivyo kuathiri hata ndege nyingine za brand nyingine ulizonazo katika fleet.

Katika mtazamo huo hiki kinachotokea sasa hakikutarajiwa na pengine damage yake huenda ikawa sawasawa au zaidi ya kile kampuni/serikali ilichojaribu kukilinda...

Haya ni mawazo na mtazamo wangu tu binafsi, sio facts!
Akili yako inafanya kazi Vizuri. Siongezi Mengine - NANYAMAZA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom