Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
Hivi kujenga msikiti pale inahusiana nini na ulipuaji wa WTC?Halafu yule imamu anataka kujenga limsikiti lake hapo ground zero......hell to the hell no!!!!!
Baadhi ya wachunguzi wa Kimarekani wamejenga hoja na kutoa ushahidi wa kisayansi kuonyesha kuwa matukio ya 9/11 hayakufanywa na magaidi bali yalipangwa na wamarekani wenyewe kwa nia ya kutimiza uovu wao ikiwamo kuivamia Iraq na Afghanistan. Kwa mfano hakuna miili ya watu wala mizigo iliyoonekana baada ya kile kilichodaiwa ndege ya abiria iligongeshwa pale Pentagon. Vile vile kuna ushahidi kuwa zile Twin Towers hazikuangushwa na vishindo vya ndege bali kuna mabomu yalikuwa yametegwa chini yake tayari. Mabaki ya hayo majumba yalifichwa ili yasifanyiwe uchunguzi. Nyie mlio Marekani tuambieni ni uzushi huu au na nanyie mmeingia kwenye emotions bila kutulia na kuuliza maswali yanayohitaji majibu. Ndiyo, waliokufa lazima waenziwe lakini kama kuna wamarekani walishiriki wanapaswa kushughulikiwa pia.Halafu yule imamu anataka kujenga limsikiti lake hapo ground zero......hell to the hell no!!!!!
Siyo tija penye msikiti wataacha wanafyatua pengine!!:confused2:wewe dogo kuwa na akili huyo imamu ametumia logic ya ukweli kwani ni suluhisho tosha kwa hapo,kwani wewe na wenzio si munaamini kuwa atikadi fulani ndio wausika basi kukiwa na msikiti haitawezekana kufanyika kitu kama hicho kwani ni sehemu tukufu,
au pilau uliyokula inakusumbua,
Conquest-mkubwa hali pipi kijiti