Ukuaji wa lugha ya Kiswahili: Neno Mbashara

wataalam tunazeeka sasa vijana wanaleta maneno ambayo hata sisi wahenga wazaman hatuyajui......hii mubashara ni nini maana yake
 
Maana naliona sana kwenye RUNINGA kitu kikiwa kinafanyika kwa wakari uliopo
Sasa usahihi wake kwa lugha yetu ya kiswahili lina maana halisi na jambo lenyewe au lina ufumbuzi zaidi ?
Aulizae anataka kujua
 
Maana naliona sana kwenye RUNINGA kitu kikiwa kinafanyika kwa wakari uliopo
Sasa usahihi wake kwa lugha yetu ya kiswahili lina maana halisi na jambo lenyewe au lina ufumbuzi zaidi ?
Aulizae anataka kujua
Naona Uzi wako umeunganishwa na mada nyingine kabisa
 
Jana tuliskia wakati mh Rais magufuli akiwa amempigia simu diamond na wakaongea nae mubashara kupitia cloudsfm, nilisikiliza maongezi yao, baada ya diamond kumueleza kuwa awasaidie njia nzuri ya kulipia kodi kwani yeye pia ni mlipaji kodi mzuri, mwisho rais kamwambia nimekuskia, na nakupongeza sana uzidi kuitangaza nch yetu katika masuala ya mziki, na nawapongeza wanamuziki wote hata wale wanaoigiza nawapenda sana wale,, shilawadu nk,
swali je mh rais anajua maana ya jina hili?
Kwa uelewa wangu nimejua kuwa mh rais anajua shilawadu ni kikundi cha kuigiza

ni kweli hiki ni kikundi cha kuigiza kwenye tv?
mwenye uelewa na hawa shilawadu plz atuambie wanafanya nini? na hata boss wao pia sio mbaya!
ili tujue kama Mh Rais anawajua!


nawasilisha..!
 
Back
Top Bottom