USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 9,896
- 22,666
Nchi 112 zilisaisini mkataba wa kutotumia bomu hilo ambalo ni hatari sana hasa kama litalengwa eneo wenye watu wengi Kwa kuwa mzingo wake ni mkubwa zaidi ya MOALB (Mother of all boms) kuwa kuwa hutawanyika ngani likikaribia kugusa target na kuzaa vipande vya vibom vidogo vidogo na kungamiza zaidi.
Urusi hapo awali alitumia bomb hilo eneo la bucher na kuzua utata Kwa nano na ICC inamfunglia mashtaka makubwa lakini Jana Rais Biden amekubali waukrane nao watumie na marekani itawatumia mabomu hayo Kwa wingi iliwemo nchi washirika ,yatatumiwa hasa maeneo yaliyopandwa mabom mengi wakati wakiwa katika mwezi wa kurudisha maeneo yao
Bado Kremlin haijasema lolote maana hapa ni mbwa kala mbwa na ulaya imepania kupambana hadi mwisho
USSR
Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app