Ukonga: Mwanamke mmoja atuhumiwa uchawi baada ya kuonekana akiwa katikati ya barabara amekalia ungo

4fa438ef124f6ea9e2b332362d905fdf.jpg
4647f2623179c7c2dcc2176a5e133aa0.jpg
Mungu wangu mme wakeee
 
Sio mchawi, ila aliambiwa na mganga akae juu ya ungo katikati ya barabara akiwa uchi na kuwa hakuna mtu atae mwona ila ndo hivyo mganga tapeli kamwingiza choo cha kiume
 
View attachment 546176 JAMANI UMBEYA KAZI nna letew MASTORY NA MAPICHA YA MAMA UNGO UKO DM ROHOO YANGU INAMUONEA HURUMA naona nimsitiri ila umbeya wanguu unasema sito utendea haki ila MPAKA ID YA MMEWE ANAPOFANYIA KAZI SEMA UWEZ WEKA SURA YA MMEWE HAPA ASIJE ACHISHWA KAZI.. BURE WALA MTOTO WAKE UWEZ MPOST... NA UMBEYA WOOTE ITFAKI izingatiwe... ila inshort unaambiwa watoto wake mmoja mwanasheria mwngn mwalim mwngn muhasibu jana wamelia kama mbwa... hadi huruma LAKIN WEWE MAMA JAMAN KAMA ILIKUWA MARA YAKO YAKWANZA KWENDA KWA MGANGA ATA UNGEULIZA.. UMEONA WAPI MTU ANAPAA NA UNGO BILA USINGA.. maana ule usinga ndi usukani wenyewe na ndio breki sasa wewe umedanganywa panda kwenye ungo sema maneno aya paa... bila usukan kweli ukujiulza kona utakata vip au unazan uko angan hamna kona au hakuna kupishanaa lazima ungetutana na maderea wengn mpiashane.... khaa muwe mwaulza kupaa na ungoo bila usinga veeepe kona nilazima ili utue unapo taka wewe... maana unaweza kupitiliza kituo sasa unarudije nyuma bila kukunja kona
Jamaniii aibuuu
 
Mama amejiaibisha sana, amemuaibisha mumewe na jamaa zake kwa ujumla, Mumewake ni MTU mwenye kipato sasa yote ni kutafuta nn? Mama rudi kijijini kwenu Magu ( Lutale) ukaanzishe uganga tu.

Wasalaam!

Uchawi kumbe upo asee, na kuruka kwa ungo kumbe it's true kabisa.

Katika hali yakushangaza Leo wakazi na wapita njia wameshuhudia mchawi akianguka live katikati ya barabara. Haijajulikana ametokea na anaelekea wapi ila alinyanyuka nakuanza kutembea akiwa uchi wa mnyama. Tazama hapa chini.
View attachment 545935View attachment 545937View attachment 545940
Hapa akiwa ameshavaa nguo, ndio huyo mwenye gauni rangi nyeusi, nyekundu na nyeupe.

Ipo na video naona imegoma Ku upload.

NB. Wataalam tunaoruka kwa ungo kama tupo umu tupeane nondo kidogo, huwa tunakosea wapi mpaka tunaanguka nakudhalilika kiasi hiki? (Joking)

Cc mshana jr

G.Don-Master.
 
Mimi huwa mawashangaa sana watu kama wewe yani huwa najiuliza ni dunia gani mnaishi.

Mimi yalishanikuta makubwa sana na naamini uchawi upo!!!
Uchawi hua haupo. Ndio maana huyo mama ameshindwa kuruka kwenda alikokua anataka kwenda.

Mambo ya uchawi na uganga ni mambo ya kijinga tu na wanaoamini hayo mambo ni wajinga tu kwa maana kwamba hayo mambo hayapo.
 
Back
Top Bottom