Ukombozi

NSHIBO1

Member
May 4, 2011
31
7
Ni vp tunaweza kuwashashi vijana wa kike waungane katika harakati za kujikomboa na kuikomboa nchi yetu ktk umaskini uliosababishwa na chama tawala?
 
post ya kwanza kweye JF na unaandika pumba kweli iko kazi humu ndani.
 
Mi cjui wa2 wengi wana tafakari gani¡¡¡¡¡¡¡?? Ki2 kiko wazi bado tu wanauliza. Mmmmmh!
 
Back
Top Bottom