housegirl
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 3,125
- 2,189
Mkuu shukrani sana, ila naomba kuuliza, hizo punje za kitunguu saumu unatafuna au unameza bila kutafuna?
Kwani vikubwa vina nini?Unameza bila kutafuna!? Basi zitakuwa dawa hizo!!!.
Tafuna kuchukuchu ndo umeze. Na tumia zile punje ndogo ndogo. Usitumie yale matunguu makubwa.
.
Kama ni ukali, vidogo vinaweza kuwa vikali kuliko vikubwa.
Kula kavukavu huwezi aisee, unakaa kusukumia na maji au juice