Ukistaajabu ya Palestine utayaona ya Wamasai wanaodai Ardhi yao kutoka kwa Mfalme Charles III wa Uingereza!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,131
Wamasai wanamsubiri kwa hamu kubwa Mfalme Charles III wa Uingereza Ili wampe ombi la kutaka kurejeshewa Ardhi yao iliyotwaliwa baada ya Uhuru

King Charles III atafanya ziara nchini Kenya hivi karibuni

Source: EATV

Mlale Unono 😀😀🔥🐼
 
F8oUxzgX0AASvqQ.jpeg
 
Wana kesi nzuri. Wasikilizwe wapewe Fidia. Eneo lao lilianzia kaskazini ya Tanzania hadi Nairobi.

Mwingereza akalikata. Eneo kubwa amejilimikisha na washikaji kina Kemyata, Odinga.
 
Wamasai wanamsubiri kwa hamu kubwa Mfalme Charles III wa Uingereza Ili wampe ombi la kutaka kurejeshewa Ardhi yao iliyotwaliwa baada ya Uhuru

King Charles III atafanya ziara nchini Kenya hivi karibuni

Source: EATV

Mlale Unono 😀😀🔥🐼
😅😅😅😅
 
Back
Top Bottom