Radio Producer
JF-Expert Member
- Feb 4, 2011
- 724
- 295
Ukisoma hii course aisee lazima upate ajira aisee. Kozi inapatikana hapa: Home Radio Ministry - Powered by CO.CC wahi hujachelewa.
Ondoa wasiwasi mkuu! From 2008 we have been training for 5 months and the participants are gaining alotkozi yenyewe miezi 4? kweli kuna kuelewa hapo?
Ondoa wasiwasi mkuu! From 2008 we have been train for 5 months and the participants are gaining alot
Ondoa wasiwasi mkuu! From 2008 we have been train for 5 months and the participants are gaining alot
Jamani kwa nini tunajilazimisha lugha za wenyewe kama hatuwezi? Hebu acha mzaha wako wewe!!
kozi yenyewe miezi 4? kweli kuna kuelewa hapo?
Sasa wakufunzi wenyewe chai,na course yenyewe itakuwa chai tu!! Yani hapo ni lazima ukose AJIRA!
naomba mawasiliano yenu
Jamani kwa nini tunajilazimisha lugha za wenyewe kama hatuwezi? Hebu acha mzaha wako wewe!!
Nadhani ni typographical error, bila shaka alitaka kuandika training badala ya train. Wengine wanatumia simu.
au nia yenu ni kumake hela fasta fasta ili muanzishe redio kama ninavyoona hapo kwenye website yenu?
Nadhani ni typographical error, bila shaka alitaka kuandika training badala ya train. Wengine wanatumia simu.
Ondoa wasiwasi mkuu! From 2008 we have been train for 5 months and the participants are gaining alot
Karibu sana, tumefundisha wengi na sasa wameajiriwa katika redio mbalimbali.
Utafundishwa masomo yafuatayo:-
COURSE PLAN
Languages: English, Swahili
Hata ukiedit, watu wameshaona na wameweka kwenye quote!Last edited by Radio Producer; Today at 02:57 PM.
acha kutetea upuuzi bwana..we unaona tense ina malyenge halafu unaleta kiingereza chako hapa...
Hata ukiedit, watu wameshaona na wameweka kwenye quote!