..........ukishangaa ya musa.....jamani hiki kiazi

meeku

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
569
108
Kwani ndo tunakaribia mwisho au vilikuwepo? 2977320610103582665S600x600Q85.jpg
 
Hakuna jipya hapa duniani! Vyote vilikuwepo ila utundu wa kuangalia kila kitu ndio sasa. Watu sasa wamearibiwa na mitandao!
 
kwani chashangaza nini, mbona ni mithili ya bunduki ya kiumeni tu!!
 
Lakini kilichungulia wapi hadi kujifananisha na kitu ambacho saa zote chafichwa??
 
Mbegu na mbolea zinazotumika kuotesha mimea hyo zinachangia kutokea kwa maumbo ya ajabu ya mimea.
 
Hebu oneni. lakini napata wazo kuwa watu wamekuwa wakifanya ngono vichakani hivyo kusababisha mimea imekuwa ikichungulia viungo vyetu. 3248827316_7e6c29be9d.jpg
 
Back
Top Bottom