Ukiona mtu mzima anatoa chozi ujue kuna jambo!!!

BIG X

JF-Expert Member
Nov 4, 2011
777
212
Tarehe 8 mshahara umeisha, sijui nitaumaliza vipi huu mwezi.

Umeme, maji balaa. Chakula ndio usiseme.

Yesuu weeeeeeeee...., niokoe mja wako.
 
Maskiniii ungekua Mbunge mida hii ungekua unakenua tu !.
32 nje wa wigo ! Tangaza nia mtu wangu hata ya udiwani .
 
Maskiniii ungekua Mbunge mida hii ungekua unakenua tu !.
32 nje wa wigo ! Tangaza nia mtu wangu hata ya udiwani .

Dah! tatizo siwezi kudanganya umma mie, siwezi kusema uhongo kwa watanzania, Kwahiyo hawawezi nipa kura zao. maana watz wanapenda watu wanaowadanganya.
 
Back
Top Bottom