Ukiona mpenzi wako ana wivu kupitiliza jiulize

KISS 100

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
527
1,101
Wivu katika mapenzi ni kitu cha kawaida. Ila ukiona mpenzi wako wivu uko juu sana jua anakucheat Huyo.

Kuna rafiki yangu mmoja ana wivu sana kwa mumewe, ila kwa vile nipo naye karibu najua mambo yake ya siri. Ana michepuko si kawaida na naifahamu yote. Ila haipiti muda ni kupiga visimu kwa mumewe ooh hubby uko wapi, unafanya nini?

Ni malaya wa kutupwa. Ukiona mpenzi wako ana wivu uliopitiliza jiulize sana maswali. Maana hapo anajua anaibiwa na yeye kama anavyoiba.

Mapenzi ni dhamana, ila kwa Africa mapenzi ya dhati yashashindikana kwa wengi 70%. Fedha na mali ndio vinaendesha mapenzi kwa sasa.
 
Kuna ukweli
 
Si wana ndoa hao? Si wanaunganisha vikojoleo vyao kihalali?

#KATAA NDOA MAAMAE!

dronedrake
 
Wivu katika mapenzi ni kitu cha kawaida. Ila ukiona mpenzi wako wivu uko juu sana jua anakucheat Huyo.

Kuna rafiki yangu mmoja ana wivu sana kwa mumewe, ila kwa vile nipo naye karibu najua mambo yake ya siri. Ana michepuko si kawaida na naifahamu yote. Ila haipiti muda ni kupiga visimu kwa mumewe ooh hubby uko wapi, unafanya nini?

Ni malaya wa kutupwa. Ukiona mpenzi wako ana wivu uliopitiliza jiulize sana maswali. Maana hapo anajua anaibiwa na yeye kama anavyoiba.

Mapenzi ni dhamana, ila kwa Africa mapenzi ya dhati yashashindikana kwa wengi 70%. Fedha na mali ndio vinaendesha mapenzi kwa sasa.
Sometimes wivu ni emotional baggage from someone's past. either makuzi yake, experience kutoka watu wake wa karibu, lifestyle yake aliyopitia na mengineyo.

Wanawake waliokuwa na tabia za kuchukua wanaume wa watu au waume za watu wengi wana tatizo Hilo, it is very difficult kwa wao kuwa na trust na waume zao na hata wanawake wazuri wanaokuwa karibu na wanaume wao.

Sent from my Infinix X6820 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom