Ukimfumania Mumeo na Kondomu Mpongeze'

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,318
33,125
4344750.jpg

Mkufunzi mmoja ambaye ni nguli wa kuwafunda akina dada wakati wa Kitchen Party amewataka akina dada ambao wanakwenda kuolewa kufahamu vizuri jinsi ya kuutumia mwiko wa kupikia kwenye chungu ili kuzidumisha ndoa zao na pia wasiwe na ghadhabu wanapokuta kondomu kwenye mifuko ya suruali ya waume zao. Nguli huyo maarufu jijini Dar es Salaa kwa masuala ya Kitchen Party [Jina Kapuni] alikuwa akitoa mafunzo katika sherehe mojawapo iliyofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, hivi karibuni.

"Katika ndoa kuna mengi yanayojitokeza mbali na kufanya kazi za nyumbani, unaweza kukuta katika suruali ya mume wako ndani ya mfuko amesahau Kondomu ukiona hivyo mpongeze mume wako maana anakujali pia usichukie wewe iweke vizuri na ikiwezekana pindi anaposafiri nenda dukani kamwongezee boksi nyingine ,mfungie kwenye begi lake", alisema kungwi huyo.

Kungwi huyo alimwambia pia bibi harusi kuwa ukiona mwanamke mwenzako jirani yako amekuja kwako kukwambia kwamba mume wako ana uhusiano na mwanamke mwingine basi mchukulie mwanamke huyo kuwa anataka kuharibu ndoa yako.

Mambo yako ya ndani usimwambie mtu mwingine zaidi ya mume wako maana ukisema mume wako anakojoa kitandani atakayechekwa ni wewe mwenyewe", alimalizia kusema mama huyo.

Alisema pia kuwa wengi wa wasichana wanapoolewa huwa hawajui maana ya huu mwiko ambao alikuwa ameushikilia akimwelezea bibi harusi mtarajiwa jina tunalihifadhi.

Alisema utakuta akina mama watu wazima ambao tayari wameolewa wanakuwa wanachanganya mwiko katika vyungu mbalimbali jambo ambalo halitakiwi mwiko unatakiwa kuingia katika chungu kimoja tu ni cha mme wako ambaye amekuoa na si vinginevyo.

"Mwiko ukitumika katika vyungu vingi hupoteza ladha" alisema nguli huyo.

Alifafanua kuwa wengi wa akina mama walioolewa wamekuwa wakithubutu kwenda nje ya ndoa zoa na hivyo miili yao kuingiliwa na miiko zaidi ya mmoja ambapo hasara yake ni kuambukizwa magonjwa.
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=4344750&&Cat=1
 
"Mwiko ukitumika katika vyungu vingi hupoteza ladha"

anayefundwa sasa hapa ni nani?mwanamke au mwanaume?

BTT:nikikute na condom afu nikupongeze????thubutuuuuu... :rolleyez:
 
Kuongea hapa ni rahisi, lakini kutrenda ni ngumu sana. fikiria kama ni wewe umekuta kndomu moja mfukoni mwa suruali ya mumeo kwenye kiboks chake, wakati unajua katika boksi hukaa kondomu tatu, utajisikiaje? Uatakua na moyo wa kumuongezea nyingine? Ni vigumu kumuongezea kondomu. Inaonyesha mke hamridhishi mmewe, au mume hawezi kuvumilia.
 
Full of contradictions and double standard... huyu kungwi hafai kumpa mtu advice...
anamwambia am support mme wake kwenda nje halafu anamkataza yeye ku cheat...

Naona hapo mwanamke amedhalilishwa...
 
4344750.jpg

Mkufunzi mmoja ambaye ni nguli wa kuwafunda akina dada wakati wa Kitchen Party amewataka akina dada ambao wanakwenda kuolewa kufahamu vizuri jinsi ya kuutumia mwiko wa kupikia kwenye chungu ili kuzidumisha ndoa zao na pia wasiwe na ghadhabu wanapokuta kondomu kwenye mifuko ya suruali ya waume zao. Nguli huyo maarufu jijini Dar es Salaa kwa masuala ya Kitchen Party [Jina Kapuni] alikuwa akitoa mafunzo katika sherehe mojawapo iliyofanyika katika ukumbi wa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, hivi karibuni.

"Katika ndoa kuna mengi yanayojitokeza mbali na kufanya kazi za nyumbani, unaweza kukuta katika suruali ya mume wako ndani ya mfuko amesahau Kondomu ukiona hivyo mpongeze mume wako maana anakujali pia usichukie wewe iweke vizuri na ikiwezekana pindi anaposafiri nenda dukani kamwongezee boksi nyingine ,mfungie kwenye begi lake", alisema kungwi huyo.

Kungwi huyo alimwambia pia bibi harusi kuwa ukiona mwanamke mwenzako jirani yako amekuja kwako kukwambia kwamba mume wako ana uhusiano na mwanamke mwingine basi mchukulie mwanamke huyo kuwa anataka kuharibu ndoa yako.

Mambo yako ya ndani usimwambie mtu mwingine zaidi ya mume wako maana ukisema mume wako anakojoa kitandani atakayechekwa ni wewe mwenyewe", alimalizia kusema mama huyo.

Alisema pia kuwa wengi wa wasichana wanapoolewa huwa hawajui maana ya huu mwiko ambao alikuwa ameushikilia akimwelezea bibi harusi mtarajiwa jina tunalihifadhi.

Alisema utakuta akina mama watu wazima ambao tayari wameolewa wanakuwa wanachanganya mwiko katika vyungu mbalimbali jambo ambalo halitakiwi mwiko unatakiwa kuingia katika chungu kimoja tu ni cha mme wako ambaye amekuoa na si vinginevyo.

"Mwiko ukitumika katika vyungu vingi hupoteza ladha" alisema nguli huyo.

Alifafanua kuwa wengi wa akina mama walioolewa wamekuwa wakithubutu kwenda nje ya ndoa zoa na hivyo miili yao kuingiliwa na miiko zaidi ya mmoja ambapo hasara yake ni kuambukizwa magonjwa.
http://www.nifahamishe.com/NewsDetails.aspx?NewsID=4344750&&Cat=1

Mhh!! itakuwa ngumu iseee!!! nimkute na Condom nimpongeze duh!!
 
4344750.jpg

mkufunzi mmoja ambaye ni nguli wa kuwafunda akina dada wakati wa kitchen party amewataka akina dada ambao wanakwenda kuolewa kufahamu vizuri jinsi ya kuutumia mwiko wa kupikia kwenye chungu ili kuzidumisha ndoa zao na pia wasiwe na ghadhabu wanapokuta kondomu kwenye mifuko ya suruali ya waume zao. Nguli huyo maarufu jijini dar es salaa kwa masuala ya kitchen party [jina kapuni] alikuwa akitoa mafunzo katika sherehe mojawapo iliyofanyika katika ukumbi wa mkuu wa mkoa wa dar es salaam, hivi karibuni.

"katika ndoa kuna mengi yanayojitokeza mbali na kufanya kazi za nyumbani, unaweza kukuta katika suruali ya mume wako ndani ya mfuko amesahau kondomu ukiona hivyo mpongeze mume wako maana anakujali pia usichukie wewe iweke vizuri na ikiwezekana pindi anaposafiri nenda dukani kamwongezee boksi nyingine ,mfungie kwenye begi lake", alisema kungwi huyo.

Kungwi huyo alimwambia pia bibi harusi kuwa ukiona mwanamke mwenzako jirani yako amekuja kwako kukwambia kwamba mume wako ana uhusiano na mwanamke mwingine basi mchukulie mwanamke huyo kuwa anataka kuharibu ndoa yako.

Mambo yako ya ndani usimwambie mtu mwingine zaidi ya mume wako maana ukisema mume wako anakojoa kitandani atakayechekwa ni wewe mwenyewe", alimalizia kusema mama huyo.

Alisema pia kuwa wengi wa wasichana wanapoolewa huwa hawajui maana ya huu mwiko ambao alikuwa ameushikilia akimwelezea bibi harusi mtarajiwa jina tunalihifadhi.

Alisema utakuta akina mama watu wazima ambao tayari wameolewa wanakuwa wanachanganya mwiko katika vyungu mbalimbali jambo ambalo halitakiwi mwiko unatakiwa kuingia katika chungu kimoja tu ni cha mme wako ambaye amekuoa na si vinginevyo.

"mwiko ukitumika katika vyungu vingi hupoteza ladha" alisema nguli huyo.

Alifafanua kuwa wengi wa akina mama walioolewa wamekuwa wakithubutu kwenda nje ya ndoa zoa na hivyo miili yao kuingiliwa na miiko zaidi ya mmoja ambapo hasara yake ni kuambukizwa magonjwa.
http://www.nifahamishe.com/newsdetails.aspx?newsid=4344750&&cat=1
umpongeze ili aendeleze ufuska? Na siku ikipasuka au a missuse? Naona baada ya kumpongeza,tembelea maeneo ya muhimbili kafanye windowshopping ya jeneza lako.
 
Mimi na wivu woote huu nilionao, kumpongeza hata siwezi jamani, kutakuwa hakulaliki humo ndani! Kwakweli atanieleza alikozitoa na alizitumia na nani!
 
haaaa huyo kungwi kweli akili yake inamtosha mwenyewe, yaani ata kushauri ajui, yaani nimkute na koncom moja then nikanunue box nimwongezee it means akazini kwa amani sio, hiyo nguvu sitokuwa nayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom