Ukijua umechanua, na ukielewa umefanikiwa

Nov 16, 2023
14
22
Image_1699574196439.jpg

1. SIRI YA UUMBAJI
Mwanadamu kabla hajaja Duniani roho yake inaishi na kutunzwa mahali Fulani HUKO MBINGUNI... Inapofika wakati wa kuja Duniani ili uzaliwe, MUNGU Aliye Hai hufanya yafuatayo Ambayo ndio msingi MKUU wa BARAKA ZETU za; Familia, ndoa, UCHUMI, Ustawi, Afya, WOKOVU, na Utumishi Hapa Duniani:

1. Mungu Aliye Hai anachagua mwanaume na mwanamke Wenye sifa ya kukuzaa, Sawasawa na vitu vya THAMANI vilivyoumbiwa ndani YAKO..

Luka 1:5
Zamani za Herode, mfalme wa Uyahudi, palikuwa na kuhani mmoja, jina lake Zakaria, wa zamu ya Abiya, na mkewe alikuwa mmojawapo wa uzao wa Haruni, jina lake Elisabeti.

Luka 1:6
Na wote wawili walikuwa wenye haki mbele za Mungu, wakiendelea katika amri zote za Bwana na maagizo yake bila lawama.

°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°

2. Unapoingia TUMBONI MWA Mama yako, unatakaswa ukiwa humo ndani ya Tumbo , kwa maana ya MATAYARISHO na Maandalizi, Sawasawa na kusudi Litakalowekwa ndani YAKO.

Yeremia 1:5
Kabla sijakuumba katika tumbo nalikujua, na kabla hujatoka tumboni, nalikutakasa; nimekuweka kuwa nabii wa mataifa.

°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
3. Ndipo MUNGU BABA, Anaweka vitu vingi Sana vya THAMANI ndani YAKO. Ambavyo vitakaa ndani ya mfumo wetu wa UUMBAJI. Sasa Hapa ndipo palipo na Siri ZOTE za Kila aina alizokirimiwa mwanadamu na MUNGU ALIYE Hai.

Kwa Ajili hii ukiyajua yote yaliyondani YAKO ni Lazima utachanua. Na Ukielewa kusudi la KUUMBWA KWAKO, na ya kuwa Wewe Ni Nani, na imebeba vitu gani vya THAMANI Katika Anga na ardhi ya Ulimwengu WAKO WA roho, Ujue UMEFANIKIWA. Hii ndio Siri, ambapo wengi Hadi wanakufa hawakuweza KUJITAMBUA.

Kwahiyo hawakuufikia Utukufu wao, na mahali Pao pa ukuu. Hii ndio Siri Ambayo ROHO MTAKATIFU, Anaifunua Sasa ili Tujitambue na kuishi maisha Halisi. MENGI Katika haya ni mambo ya ROHONI, yanayo ambatana na Maneno ya ROHONI Kutoka Ufalme Wa Mungu Aliye Hai.

1 Wakorintho 2:12
Lakini sisi hatukuipokea roho ya dunia, bali Roho atokaye kwa Mungu, makusudi tupate kuyajua tuliyokirimiwa na Mungu.

1 Wakorintho 2:13
Nayo twayanena, si kwa maneno yanayofundishwa kwa hekima ya kibinadamu, bali yanayofundishwa na Roho, tukiyafasiri mambo ya rohoni kwa maneno ya rohoni.

4. KINACHOTOKEA WAKATI MWANADAMU ANAZALIWA:

i. MALAIKA Maalumu wanaohusika na Kuzaliwa kwa mwanadamu, au MTU Binafsi, wanafika, dakika chache kabla haujatoka TUMBONI wakiwa wamebeba Nuru YAKO na TAARIFA Maalumu za maisha YAKO Binafsi.

Luka 2:9
Malaika wa Bwana akawatokea ghafula, utukufu wa Bwana ukawang’aria pande zote, wakaingiwa na hofu kuu.

Luka 2:10
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote;

Luka 2:11
maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.

ii. Katika Siku, MWEZI na MWAKA Ambao mwanadamu ANAZALIWA, MUNGU Aliye Hai, amezipanga ; Nyota, mianga, jua na sayari, Anga za Juu NJE ya Uso Wa Dunia Solar system Katika mfumo wa jua mbayo unaelezea Wewe Ni Nani Sawasawa na ; Siku, MWEZI, Mwaka, Muda uliozaliwa, na Mji uliozaliwa Hapa Duniani na hii itapelekea wazazi WAKO wakupe JINA Sawasawa na Siri ya KUUMBWA KWAKO, kusudi ulilopewa, kwanini umezaliwa, Nani wamekuzaa, na umezaliwa majira gani.

MFANO: Joto, Baridi, Masika, Kipupwe, au Vuli na pia Wewe Ni wangapi Kuzaliwa NYUMBANI KWENU.

iii. SIKU unazaliwa Nyota Maalumu zitajidhihirisha angani, zikiwa zimebeba Siri za maisha YAKO, Kama alivyokuumba MUNGU Aliye Hai. Hii ni tafsiri inayoeleza habari za maisha Kama Nakala Kuu ya kwanza.......... Pia , Nyota nyingine zinawekwa ndani YAKO....... Nuru ya mng'ao wa utukufu... Luka 2:9...... Hii ni nakala Halisi ya pili inayowekwa ndani YAKO. Nyota iliyondani YAKO na ile iliyopo Katika Anga za Juu NJE ya Uso Wa Dunia, Zina mawasiliano makubwa Sana, yanayoleta manufaa, na faida Kubwa Sana Katika maisha yetu Hapa Duniani.
_____________________________
Hesabu 24:17
Namwona, lakini si sasa; Namtazama, lakini si karibu; Nyota itatokea katika Yakobo Na fimbo ya enzi itainuka katika Israeli; Nayo itazipiga-piga pembe za Moabu, Na kuwavunja-vunja wana wote wa ghasia.
°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°°
Mathayo 2:1
Yesu alipozaliwa katika Bethlehemu ya Uyahudi zamani za mfalme Herode, tazama, mamajusi wa mashariki walifika Yerusalemu, wakisema,

Mathayo 2:2
Yuko wapi yeye aliyezaliwa mfalme wa Wayahudi? Kwa maana tuliiona nyota yake mashariki, nasi tumekuja kumsujudia.

Mathayo 2:7
Kisha Herode akawaita wale mamajusi faraghani, akapata kwao hakika ya muda tangu ilipoonekana ile nyota.

Mathayo 2:8
Akawapeleka Bethlehemu, akasema, Shikeni njia, mkaulize sana mambo ya mtoto; na mkiisha kumwona, nileteeni habari, ili mimi nami niende nimsujudie.

Mathayo 2:10
Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
___________________________
Mathayo 2:11
Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane.
___________________________
iv. Nyota au Nuru ya mbinguni iliyowekwa ndani YAKO inaeleza habari zako ZOTE.
MFANO;-
-- Elimu utakayosoma.
-- Aina ya Ajira inayokufaa.
--Utajuwa MTU Mwenye tabia gani ya Asili.
-- Katika WOKOVU, utamtumikia MUNGU Aliye Hai Katika Huduma ipi?
-- Ndoa, familia, na WATOTO.
-- Wewe Ni MTU wa haiba gani?
-- unatakiwa uoe, au uolewe na MTU wa aina gani atakayekufaa.
-- Unatakiwa uishi wapi?
-- Chakula gani ni muhimu na Maalumu KWAKO, Sawasawa na Neema iliyondani YAKO, Utumishi uliondani YAKO, KIPAWA kilicho ndani YAKO, na mfumo wa UUMBAJI wa Kiroho na kimwili uliondani YAKO..
-- Akili YAKO inauwezo kiasi gani.
-- Jamii, au Nchi itanufaika vipi na maisha YAKO....... Legacy...??
==========================
fundisho litaendelea Katika toleo la pili lijalo.........
---------------------------------
Mwl; Jordan Gadi Twarindwa
0689495579/ 0755932600
 
Wale wanaoundwa kwenye test tube huwa wanaumbwa na nani?
Somo la namna hii nilimkataliaga Mchungaji hahaha
Nikamwambia basi uzinzi sio dhambi
Maana kama Mungu mtakatifu na Roho hizo ni takatifu kitendo cha kuachilia roho hiyo kuingia kwenye tendo la uzinzi Basi amebarikia
 
View attachment 2819335

Ubarikiwe🙏
 
Back
Top Bottom