Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,618
Ningependa nifahamu ni maamuzi gani wenzangu mtachukua iwapo hali hii itawakuta. Dada yangu ameolewa na Mnyarwanda ambaye anakijikampuni chake kinachowapatia senti mbili tatu angalau za kuwafanya wawe ana mahudhurio mazuri toilet.Dada yangu huyu ana shostito wake kipenzi tangu elim ya msingi na yeye ameolewa.
Lakini kwa bahati mbaya dada yangu amemfuma mumewe REDI HENDEDI akiliwa tigo na mume wa shostito wake. Inavyoelekea Shostito wa sista hajui kama mumewe anawapumulia wanaume wenzie visogoni.
Ameniomba ushauri ambapo na mimi nauleta hapa kwenu, amwambie shosti wake kuwa shemeji yake ni mke mwenzie?
Na yeye atimue au afanyeje?
Msaada tafadhali!