Ukiamua harusi yako isiwe na mambo mengi we jiandae million 2

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,652
44,973
Kuendesha harusi kuku 20, mbuzi 5, pombe za laki 5

Tambua mfumo katika masherehe hamu ya kula hamna hakuna haja ya mc,wala cake ya gharama,wala watu wengi, wewe angalia vitu muhimu ni mbuzi, kuku na pombe, chipsi labda watoto stori zao sio nyingi kwa hiyo ukiamua harusi yako isiwe na mambo mengi we jiandae million 2 inatosha kabisa harusi kufanya maajabu.

Nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom