Uke wake unatoa harufu mbaya, Nimuache?

We acha wanaume huwa wana kazi sana,unadhani wanaume wengine hujali hilo,tena wengine utakuta demu akipanua k harufu itakayotoka humo utafikiri choo kinazibuliwa unaweza kuzimiaaaa
Polen sana hata nyie baadhi yenu ni kibokoo




Hivi white girl naomba nikuulize, mwanamke anayenuka hivi yaani anakuwa hajijuwi au?
 
Last edited by a moderator:
Frajili 10 kwa mpigo!!!!!!!! uuaji huu sasa. chunguza hiyo statement yako hapo juu
 
hakyanani kuna watu wavivu kusoma walahi!
yani nilikuwa nacheka mwenywe wadau wanavyoshuka na comments zao!
kweli ukitaka kumficha taarifa mwafrika iweke kwenye maandishi!
 
Dawa ya tatizo ni kulitatua so kukimbia,hiyo ni ugonjwa unatibika ,ila isijekua unatumia tigo nayo inachangia matatizo hayo.
 
Ni kweli? Yaani Angelina Jolie a.k.a. white girl unaniacha hoi kwani nashindwa kuamini, ile harufu haizoeleki kwani ni kali shinda hata ya mavi.

Hata baadhi ya wanaume hunuka huko chini ,na wengine shahawa zao zinanuka vibayaa jaman mbona za wengine hazina harufu kabisa unaweza hata kuzilambaa hahahah
 
Tiba ndio sahihi inawezekana ana uti sugu au fungus ndio zinaleta harufu, pia anaweza tumia shabu kuosha
papuchi yke itamsaidia.sisi wanaume tuna kazi ki2 inatoa halafu unazama chumvini c utapata uti y mdomo sasa.usafi hunogesha mechi
 
Hata baadhi ya wanaume
hunuka huko chini ,na wengine shahawa zao zinanuka vibayaa jaman mbona
za wengine hazina harufu kabisa unaweza hata kuzilambaa hahahah

yesu kumbe hata wanaume wananuka?? mungu ninyime vyote ila mmre wangu asiiwe na dosali yoyote ya uchafu yaan msafi kupitiliza sijui izo kiss ataweka wap? dah
 
Nina tatizo ambalo kwa sasa imekuwa ikinikosesha raha sana jamani. nikiwa nakaribia kublid uke wangu unatoa harufu ambayo sio nzuri kwa kweli. Hali hiyo pia inajirudia nikiwa kwenye siku za mwisho blid. Naoga asubuhi na jioni. Help me plz.
 
Kawaida hiyo mama ukiwa unakaribia siku zako au unamaliza, ila Kama na siku za kawaida hiyo harufu inakuwepo nenda hospital haraka. Kikubwa jitahidi kuwa msafi sana unawe Mara kwa Mara kwa maji safi na kujikausha vizuri na kubadilisha pantii angalau mara 2 au 3 kwa mchana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom