UKAWA: Mkakati makini wa kisiasa

Travelogue_tz

JF-Expert Member
Sep 28, 2010
848
1,212
Siku zote natafakari busara, akili, mazingira na wakati uliolazimisha vyama vikuu vya Upinzani Tanzania kusahau historia mbaya, kuachana na umimi na kuunganisha nguvu na kuwa kitu kimoja - Siitazami UKAWA kama kete muhimu katika Uchaguzi Mkuu uliopita ambapo Lowassa alishinda, bali jinsi ilivyojenga uwanja mzuri katika kutekeleza na kutatua migogoro isiyo ya lazima - Zoezi la Uchaguzi wa Mameya, Wenyeviti wa Halmashauri limekwenda vizuri sana chini ya UKAWA, Mgogoro wa Zanzibar - Msimamo safi kutoka UKAWA. Tunashauri UKAWA ijijenge kimfumo na kitaasisi ili kupanua fursa zaidi ya uwakilishi mbadala kwa wananchi.
 
siku zote natafakari busara, akili, mazingira na wakati uliolazimisha vyama vikuu vya upinzani tanzania kusahau historia mbaya, kuachana na umimi na kuunganisha nguvu na kuwa kitu kimoja - siitazami ukawa kama kete muhimu katika uchaguzi mkuu uliopita ambapo lowasa alishinda, bali jinsi ilivyojenga uwanja mzuri katika kutekeleza na kutatua migogoro isiyo ya lazima - zoezi la uchaguzi wa mameya, wenyeviti wa halmashauri limekwenda vizuri sana chini ya ukawa, mgogoro wa zanzibar - msimamo safi kutoka ukawa. Tunashauri ukawa ijijenge kimfumo na kitaasisi ili kupanua fursa zaidi ya uwakilishi mbadala kwa wananchi.

ukawa tumaini letu
 
Kauli walizowahi kutoa Viongozi wa UKAWA kuhusu Lowassa Atakayemuunga mkono Lowasa apimwe akili - Msigwa CCM wamempa fomu kugombea urais MTU aliyepaswa kuwa jela, wametudharau watanzania - Lipumba. Nawashangaa wanaochoma moto vibaka na kumuacha Lowasa anatanua mtaani - Mbowe NI heshima KWA Mungu kumzomea mwizi na fisadi kama Lowassa - G.Lema Lowassa tumemtaja katika list ya watu wanaotia hasara Taifa (List of shame) - Slaa Nina ushahidi juu ya wizi unaofanywa na mafisadi sugu wa Tanzania akiwemo Lowassa na akina Rostam - Mnyika HAO NDIYO VIONGOZI WETU!!
 
Haya yote tunayafahamu - Na Wananchi wanajua pia. Ndio maana Wabunge wamefika 100, Majiji 4, Halmashauri na Manispaa zaidi ya 25, Kushinda Uchaguzi Zanzibar na Wa Muungano. Ukiwa na tabia za kususa huwezi kufanya mambo makubwa kama haya
 
Back
Top Bottom