Ujuzi wa biashara ya cementi

bebiii

Member
Jan 23, 2015
21
5
Habari wana jamii form, naombeni msaada wenu nataka kujiajiri kwa kuanzisha biashara ya cement, naombeni mtu mwenye ujuzi na biasharahii anipe mongozo na wapi ninaweza pata simenti kwa bei ya jumla, naombeni ushirikiano wenu
 
Unategemea kufungua biashara mkoa gani?Kama ni Dar sehemu gani?.
Ukifanikiwa kupata maeneo ambayo ndo yameanza kujengeka ni vema zaidi.
 
Back
Top Bottom