Ujumbe wa simu unaosambazwa kwa wajumbe wa katiba kuhusu posho na hoja ya serikali 2. Hatari!!!!!!!

hapa ndipo akili za maccm yote ilipo fikia akili hakuna, yanatumia ile philosophy ya dawa ya mjinga ni chakula na tumbo, kweli watanzani tukiendelea hivi ni hatari kwa vizazi vyetu baadae
 
Huu ndio ujumbe wa siri ulionaswa ukisambazwa kwa baadhi ya wajumbe wa tume ya katiba: "Bila laki 5 hakuna ku-support hoja ya serikali mbili. Tuunge mkono hoja ya serikali tatu!"



Hili nalo ni janga! Kilichobaki sasa ni kuwaambia wasiokubali waandike majina yao ili wafahamike na kisha waambiwe nyie ambao pesa hiyo haiwatoshi tumewashindwa! rudini kwenu
 
Mbowe kama Mjumbe wa Tume ya Kudai Posho sasa amepata Fursa ya kuleta Serikali aitakayo, Kama anataka serikal 3 apiganie Posho isiongezeke, akipigania Posho kuongezeka ajue pia kapigania Serikal 2.
 
CCM IMEWEKWA KTK MTEGO NA "WACHUMIA TUMBO"busara zitumike hapo kuokoa fedha za umma ni bora MCHAKATO UHAIRISHWE MPK 2016
 
Halafu watu humu utawasikia ooonh sijui chama gani ndio nini sijui!!!!!!!

Hao ndio mashujaa wenu sasa kwa rangi yao halisi
 
Hii sasa ni nini.

Kwani lazima wawepo, mie ningekuwa raisi ningewaaondoa wote na kuweka wengine. Kuleleana kumezidi sana hapa nchini, ni wakati wa JK kufanya wasiyotarajia kabla hajaondoka next year.
 
.wapewe tu hizo 500,000/= hata wakipewa 6M kwa siku haina shida, lakini watambue kabisa huku kwetu wasikanyage maisha yao yamalizikie hukohuko Dodoma..mmamae zao
 
wawape tu TUMECHOKA mie kwa laki naenda bila kudai nauli ya kwenda na kurudi na naenda na mke na watoto nahamia dodomakwa muda. Watanzania wapate katiba mpya tena ya serikali 3 ili ikishindwa twende moja kwani watu hawataki 1 na 2 twende tatu turudi 1
WANATUCHOSHA NA KUTUTOA KWENYE LENGO.

Mbona kuna wameanza kazi na mshahara wa laki na 40 kwa mwezi sembuse kwa siku
 
Piga chini wote kuna vichwa bado viko uraiani vinaweza kututengenezea katiba ya maana badala ya waraka wa vyama wanaotaka kututengenezea hawa jamaa. Imefika wakati tukazibe na zege jengo la bunge ili jamaa watoke wote maana wamegeuza hiyo ndiyo sehemu yao ya mavuno bila kutoa fungu la kumi
 
Huu ndio ujumbe wa siri ulionaswa ukisambazwa kwa baadhi ya wajumbe wa tume ya katiba: "Bila laki 5 hakuna ku-support hoja ya serikali mbili. Tuunge mkono hoja ya serikali tatu!"


...maambukizi ya virusi vya maradhi ya DIV.5 yanasambaa haraka sana, kutoka kwa wahitimu wa daraja "0" kwenda kwa viongozi na wawakilishi wa wananchi! hii ni hatari...!
 
Back
Top Bottom