Ukoo Flani
Senior Member
- Sep 1, 2011
- 156
- 41
Wanaofikiria kuwa Muungano utavunjika hawajui historia ya Zanzibar, wao wanasoma vitabu na wasifikiri kuwa Ikulu ya Zanzibar itaongozwa na mtu anayeutaka urais wa kwenye vitabu, haiwezekani, Muungano hautavunjika na wanaowaza hivyo wanapaswa kujiuliza mara mbili kinachowapeleka huko ni nini. Balozi Ali A. Karume