Ujumbe muhimu kwa wote

blueray

JF-Expert Member
Sep 15, 2012
2,217
423
Mods Tafadhali msihamishe huu ujumbe ingawa inaweza kuwa si mahala pake.

Hii msg nimeipata mahala nikaona niilete hapa jf kwa great thinkers kwani ina ujumbe mzuri:

'Tupinge Vurugu Za Kidini.
Waislamu, Wakristu, Wenye dini Zingine na Wasio na Dini Sote Ni Ndugu.

Tunapoadhimisha siku hii ya Mwalimu Nyerere tumuenzi kwa kuungana pamoja kupinga unyanyasaji Wa dini yoyote na tuachane na vurugu zozote za kidini ambazo Matokeo yake zinaweza kuleta vita visivyo na mwisho na kusambaratisha taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania. Tafadhali tuma msg hii kwa watu 10 uwapendao wa dini zote.
 
Ahsante,ni ujumbe mzuri ingawa wenzetu wenye vichwa vya nazi sidhani kama wanaelewa!!!
 
Mkuu unaharibu tena mada, acha iende kama ilivyo nzuri, ukianza kutukana maana ha sms hiyo inapotea, wa-tz tu-wamoja
 
Mods Tafadhali msihamishe huu ujumbe ingawa inaweza kuwa si mahala pake.

Hii msg nimeipata mahala nikaona niilete hapa jf kwa great thinkers kwani ina ujumbe mzuri:

'Tupinge Vurugu Za Kidini.
Waislamu, Wakristu, Wenye dini Zingine na Wasio na Dini Sote Ni Ndugu.

Tunapoadhimisha siku hii ya Mwalimu Nyerere tumuenzi kwa kuungana pamoja kupinga unyanyasaji Wa dini yoyote na tuachane na vurugu zozote za kidini ambazo Matokeo yake zinaweza kuleta vita visivyo na mwisho na kusambaratisha taifa letu.

Mungu ibariki Tanzania. Tafadhali tuma msg hii kwa watu 10 uwapendao wa dini zote.
Kwa kuchoma makanisa tumeingiza nchi kwenye laana.
 
TUngewaomba kati ya wenzetu waislamu ambao siyo wadini wawaelimishe wenzao labda itasaidia.Kuna wasomi wengi tu ambao hawapendi mambo yanayofanywa na waislamu wenzao.Pili waislamu wajitahidi kuacha matusi dhidi ya wakristu kwenye Radio Imani au kwenye Mihadhara yao,hatufurahii wanachokifanya ila tunadaharau na kuwadharau hata wale wanaoona Udini ni bora.Ukiangalia maana halisi ya Uislamu ni Amani je ni kweli wanapenda AMANI?Je kwa vurugu hizo ni sawasawa na maana halisi ya dini yao?Watafakari kisha wafanye maamuzi ama sivyo watakosana wenyewe kwa wenyewe hivi karibuni.
 
Sasa mtu kama hajasoma elimu dunia utamuelemishaje wakati anaambiwa anapata thawabu kwa kuchoma makanisa ama kuua makafiri?
 
Nadhani huu ujumbe ni muhimu sana na unalenga kutafuta reconciliation. Sasa Sisi kama great thinkers na tunaolitakia taifa letu amani na usalama naomba tujadili katika misingi ya kujenga ili kunusuru taifa letu lisiingie kwenye vurugu za kidini.
 
Huwezi kupata ufumbuzi bila kujua tatizo la wenzetu waislamu shida yao hasa ni nini. Hizi hasira si za bure, waje mbele waseme bila woga wakristo wanawakwaza wapi ili ijulikane. Hapo muafaka wa amani ya kudumu itapatikana,
Je wanaibiwa na wakristo, wanatukanwa? wananyimwa huduma za shule au hospitali zao? Kama ni ukafri na kutaka wakristo wasilimu kwa lazima, HIYO NI JIHAD NA HAINA MWISHO HADI KIAMA MAANA HILO HALIWEZEKANI KWA MKRISTO!
 
Kwa vyovyote itakavyokuwa haya hayatatokea hata siku moja Tanzania na duniani kwa ujumla.
1.Haitatokea dini ya kiislamu itatoweka juu ya uso wa Tanzania na duniani.
2.Vivyohivyo dini ya kikristo kamwe haitafutika Tanzania na kwingineko.
3.Na wale wasiokuwa na dini yeyote ya kigeni wanaondelea kuheshimu na kusujudia tamaduni zao za kipagani wataendelea kuwepo hadi kiyama.
Kwa maana hiyo wale wote wanaofikiria kuwa siku moja itabaki dini wanayoifuata dunia nzima wafute ndoto zao hizo na wajipange kuishi kwa amani na watu wenye itikadi tofauti na zao.
Ukweli ndio huo sana sana tusubiri kumiminika na kuongezeka kwa madhehebu toka nje na ndani ya nchi kila siku iendayo kwa Mungu
.
 
mkuu nimekugongea like mara tano kuonyesha msisitizo.thanx 4 being great thinker
 
njaa+elimu+kwetu mbagala+dhaifu+ccm+uamsho= na shegh ponda kwani hata hao walio kamatwa mbagala ukiwahoji hakuna jambo lolote wanayokueleza
 
TUngewaomba kati ya wenzetu waislamu ambao siyo wadini wawaelimishe wenzao labda itasaidia.Kuna wasomi wengi tu ambao hawapendi mambo yanayofanywa na waislamu wenzao.Pili waislamu wajitahidi kuacha matusi dhidi ya wakristu kwenye Radio Imani au kwenye Mihadhara yao,hatufurahii wanachokifanya ila tunadaharau na kuwadharau hata wale wanaoona Udini ni bora.Ukiangalia maana halisi ya Uislamu ni Amani je ni kweli wanapenda AMANI?Je kwa vurugu hizo ni sawasawa na maana halisi ya dini yao?Watafakari kisha wafanye maamuzi ama sivyo watakosana wenyewe kwa wenyewe hivi karibuni.

Mkuu Terry, muislamu ni muoslam tu, hakuna cha msomi wala nani. Akili zao wote sawa tu
 
Huwezi kupata ufumbuzi bila kujua tatizo la wenzetu waislamu shida yao hasa ni nini. Hizi hasira si za bure, waje mbele waseme bila woga wakristo wanawakwaza wapi ili ijulikane. Hapo muafaka wa amani ya kudumu itapatikana,
Je wanaibiwa na wakristo, wanatukanwa? wananyimwa huduma za shule au hospitali zao? Kama ni ukafri na kutaka wakristo wasilimu kwa lazima, HIYO NI JIHAD NA HAINA MWISHO HADI KIAMA MAANA HILO HALIWEZEKANI KWA MKRISTO!

hapo kwenye red ni kukojolewa kwa kitabu chao kitukufu.
 
Back
Top Bottom