Ujumbe kwa viongozi wa upinzani na wote wanaotaka mabadiliko

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,034
144,388
Sitasema maneno mengi.

Kinachoendelea hivi sasa ni kampeni za mapema za kisaikoloji zinazolenga kumnadi bwana fulani na wakati huo huo kampeni hizo za kisaikolojia zinalenga pia kuaminisha umma kuwa upinzani nchini umekufa /unakufa/unadhoofika.

Ili kufanisha kampeni hii,ni wazi vyombov vya habari na hasa wahariri watatumika sana.

Akili ya kuambiwa.....

With this early campaign,I wonder what real happened in 2015!!!!

Kumbukeni:
Chema chajiuza,kibaya chajitembeza.

CC: Tumaini Makene Tundu Lissu Godbless J Lema
 
Mimi naamini kabisa 2020 nguvu kubwa itatumika kuchukua majimbo yote ya upinzani bila kujali asali zake, nawaomba sana upinzani jiandaeni kwa sasa msisubili ifike 2020 dalili zote zipo kama watu wako tayari kukuweka 48 hrs bila kosa watashindwa kusema lissu kashindwa kwa asilimia 52!! na wengine wote
 
Nakubaliana nawe kwa 100% lazima penye kushindwa patashindishwa kwa namna yoyote na kuwaacha wachache sana kwa kivuri cha uwepo wa upinzani nchini kwa mataifa ya nje hasa makubwa.
 
Those hungry lions are very aggressive they wil try and employ any brutal force to gain their power, but GOD still will watch US.
Sitasema maneno mengi.

Kinachoendelea hivi sasa ni kampeni za mapema za kisaikoloji zinazolenga kumnadi bwana fulani na wakati huo huo kampeni hizo za kisaikolojia zinalenga kuaminisha umma kuwa upinzani nchini umekufa /unakufa/unadhoofika.

Ili kufanisha kampeni hii,ni wazi vyombov vya habari na hasa wahariri watatumika sana.

Akili ya kuambiwa.....

With this early campaign,I wonder what real happened in 2015!!!!

Kumbukeni:
Chema chajiuza,kibaya chajitembeza.
 
Najiuliza tu

Najiuliza tu hii aggressiveness ya utawala huu inatokana na nini? Je ni hasra ya kushindwa 2015 au kuna jingine??
 
kila mbuge/kiongozi atahukumiwa kwa jambo au mambo ya maendeleo aliyo wafanyia wananchi wake sio porojo!! mambo yenyewe yatadhibitisha!!!

viongozi wote chapeni kazi za kuwaletea maendeleo wananchi wenu vinginevyo 2020 mambo yatakuwa magumu sana!!
 
Sitasema maneno mengi.

Kinachoendelea hivi sasa ni kampeni za mapema za kisaikoloji zinazolenga kumnadi bwana fulani na wakati huo huo kampeni hizo za kisaikolojia zinalenga pia kuaminisha umma kuwa upinzani nchini umekufa /unakufa/unadhoofika.

Ili kufanisha kampeni hii,ni wazi vyombov vya habari na hasa wahariri watatumika sana.

Akili ya kuambiwa.....

With this early campaign,I wonder what real happened in 2015!!!!

Kumbukeni:
Chema chajiuza,kibaya chajitembeza.

CC: Tumaini Makene Tundu Lissu Godbless J Lema
Lubuva ana siri nzito sana .
 
Mimi naamini kabisa 2020 nguvu kubwa itatumika kuchukua majimbo yote ya upinzani bila kujali asali zake, nawaomba sana upinzani jiandaeni kwa sasa msisubili ifike 2020 dalili zote zipo kama watu wako tayari kukuweka 48 hrs bila kosa watashindwa kusema lissu kashindwa kwa asilimia 52!! na wengine wote
Katiba mpya jamaniii ,ataa hiyo hiyo iliyopendekezwa ni heri
 
Back
Top Bottom