Ujumbe Kutoka Tahrir Square

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
"Ukiona matatizo kwa wananchi wako yanaongezeka siku hadi siku, ujue uongozi una matatizo makubwa kiutendaji, mzizi wa matatizo unazalisha hasira na chuki dhidi ya serikali na kinachofuata ni vita kubwa kutoka kwa wananchi ambao hawatakuamini tena na kuona kwamba hata wakikupa nafasi huwezi kuwatatulia matatizo yao...."

"Na bila ushawishi watakuwa tayari kupigania haki kwa njia za kidhalimu. Pia kiongozi ufahamu kuwa wananchi wako wakiwa huru na moyo wako unakuwa huru"



(najua tu watu wa CCM wataniona mimi mwehu)

Source: Barua ya Wasomaji (kwa mujibu wa Makinda) inayoitwa Majira Jumapili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom