Ujue urefu wa binadamu wa zamani enzi za kina Nuhu. Walikuwa sawa na ghorofa 25

Watu wa zaman enzi za mitume kabla ya Farao/firauni! Enzi za kina NUHU
kulikuwepo na watu warefu sana ambao kwa urefu wao walikuwa warefu sana, Walipimwa kwa ZIRAA ,

(kwa sasa ziraa moja ingefananishwa ni zaidi ya mita moja), yaani mtu mmoja alitajwa kuwa na ZIRAA 70,80 hadi 120,..

kwa urefu wao wakitembea hatua zao enzi hizo kwa sasa tungeringanisha mtu huyo angeweza kupiga hatua 3 hadi 4 tu kutoka POSTA HADI KARIAKOO ANAFIKA.

Watu hao mathalani Dushe zao kwa sasa unaweza linganisha na nguzo moja ya umeme,

kwa urefu wao walikuwa na uwezo wa kuingia baharini na kuchukua samaki bila kuzama na kumshikilia juani kwa kiganja cha mkono hadi anakauka NA KUMLA,

Watu hao wa zamani walikuwa na mikono mipana kiasi kwamba kwa miili yetu sahivi angeweza hata kutukamata mithili kama ambavyo tukamatavyo vifaranga!
mtu wa zaman angeweza kamata hata watu watano wa sahiv kwenye kiganja kimoja bila tatizo lolote kama kuku.
Watu wa zamani wanatajwa kupata balehe yao baada kufikisha miaka 150,.

Watu wa kizazi cha NUHU wangekuwepo leo andazi zao zingekuwa kama matairi ya trekta au matofali,

Makaburi ya watu wa zamani ni marefu sana ZIRAA 100 n.k yaani kama kiwanja cha uhuru,

Enzi hizo za mitume inasimuliwa kuwa kuna bibi mmoja alifiwa na mtoto wake akiwa na miaka 120 yule bibi alisema " maskini mwanae kafa kabla hata ya balehe".
Ndipo mtume mmoja aliyekuwa anambembeleza yule bibi akamwambia, shukuru hata kwa hilo, akasema kipo kizazi kinakuja watakao ishi miaka 80,.

Baada kizazi hadi kizazi watu walipungua umbo na umri,
ambapo hadi kizazi cha anaetajwa kuwa alikuwa mfupi sana enzi hizo (FARAO/FIRAUNI) kwa sasa Farao/firauni angeonekana ni mrefu hata hashimu thabiti ni mbilikimo.
nina mifano mingi sana ya kuhadithia hapa lakini kwa uchache watu walikuwa warefu sana,
ndiyo maana hata NUHU alipoaandaa SAFINA ilikuwa ndefu sana ZIRAA/mita/Mikono 70 kwenda juu ili warefu wapite.
ZILE MOVIE MNAZOANGALIA ZA VAMPAYA ZINA AKSI NA KUSADIFU ROBO TU YA WATU WA ZAMANI HAWA.
100% uwongo.
 
So binadamu wa miaka elfu moja ijayo watakuwa wadogo kama sisimizi halafu watabalehe ndani ya wiki moja baada ya kuzaliwa mbaya zaidi life span yao itakuwa ni mwezi mmoja.
We jamaa ni kiboko... Hadi nmecheka kwa sauti chombo kikanipalia
 
Back
Top Bottom