Hamna daktari Mzuri wa ngozi Tanzania kama unabisha waulize Wizara ya Afya wakati wanamuhangaikia Mwakyembe na walipokosa kabisa ikabidi wampeleke India.:rockon::rockon::rockon::rockon:
nadhani inaitwa kwa buruda.kama zikishindikana hizo zote kuna hospitali ya wamama na watoto sikumbuki inaitwaje ipo njiani ukiwa unaelekea mbagala kuu mwanangu alipata dawa pale na zilimsaidia, hiyo hosp ni ya masister wanasema ni maarufu sana.
madaktari naomba mnisaidie katika hili. Nina ugonjwa wa ngozi takribani miaka kumi sasa ugonjwa huu hujitokeza kama vipele na kisha kukauka. Nimefika hospitali mbalimbali kwa matibabu bila mafanikio. Nilifika Bugando nikapewa dawa sikuona badiliko. Mawenzi hospital, Sekou toure na Agha Kan pia bila ya mafanikio.Naombeni msaada wa kitabibu nitumie dawa gani ili niondokane na tatizo hili maana nakereka sana. Natanguliza shukrani.
Kazi kweli kweli na tiba to PM tena wagonjwa wako wemgi we weka mambo yko wazi bana .....au maruhani ya kuzuia kuwa muwazi!nenda kariakoo dispensary mtaa wa swahili na narung'ombe pale kariakoo siku ya jumamosi sa tatu asubuhi utani-pm nikupe namba yangu ya simu nina uhakika utapona 100%
nenda kariakoo dispensary mtaa wa swahili na narung'ombe pale kariakoo siku ya jumamosi sa tatu asubuhi utani-pm nikupe namba yangu ya simu nina uhakika utapona 100%