Ujue ufisadi huu POLISI

Halafu Hapo Sioni Suala Lolote La Ufisadi Unalidhalilisha Jeshi Letu La Polisi Unavyojaribu Kuliweka Katika Mazingira Haya Bwana

Wee shy wewe, wanasema hivi ukiwa muongo ni vizuri uwe na kumbukumbu. Usinone ni junior member, nimeanza kusoma JF Kama guest zaidi ya mwaka. N akumbuka sana story zako za kukamatwa na laptop na polisi ukalazwa ndani na uongo mwingine mwingi, kumbe pale ulikuwa unalisifu jeshi la polisi au ulikuwa unalidhalilisha au ulikuwa unatuletea story zako ili tukuhurumie au ni uongo tu. Sijui nikuewke group gani ila kwa mwanaume kubehave the way you do ni aibu. we ni mnafiki sana shy, either uanafanya makusudi kuwaudhi watu au uko kwenye payroll ya watu. I should know better tangu scandal ya JF hadi watu fulani wakashikwa. Behave like a man atleast for once. Siyo muhimu kuchangia kama huna ch kusema, no wonder your status says you are alone in the dark! From what i see thats very true.
 
pole sana kwa yote yaliokukuta why usimpigie kamanda wa kandaa maaluumu ukamwelezea jinsi vijana wake wanavyofanya kazi kizembe awaajipishe, namba yake ni Kamanda Seleman Kova 0754094224

Thank you for the number, nimepiga sasa hivi na landline imeita halafu ghafla answermachine inasema simu haiwezi kupokelewa nitafute namba nyingine kama inawekana. Mnaona sasa ilivyo ngumu, huyu kova au rwambow ofisi zao ziko wapi? niko tayari kuwafata na kuwakilisha malalamiko yangu.
 
Wee shy wewe, wanasema hivi ukiwa muongo ni vizuri uwe na kumbukumbu. Usinone ni junior member, nimeanza kusoma JF Kama guest zaidi ya mwaka. N akumbuka sana story zako za kukamatwa na laptop na polisi ukalazwa ndani na uongo mwingine mwingi, kumbe pale ulikuwa unalisifu jeshi la polisi au ulikuwa unalidhalilisha au ulikuwa unatuletea story zako ili tukuhurumie au ni uongo tu. Sijui nikuewke group gani ila kwa mwanaume kubehave the way you do ni aibu. we ni mnafiki sana shy, either uanafanya makusudi kuwaudhi watu au uko kwenye payroll ya watu. I should know better tangu scandal ya JF hadi watu fulani wakashikwa. Behave like a man atleast for once. Siyo muhimu kuchangia kama huna ch kusema, no wonder your status says you are alone in the dark! From what i see thats very true.

Mkuu watu kama akina SHY wasikupotezee mda..hapa tumeshawazoea..wapo tuu kwa sababu Mungu aliwaumba wawepo! The guy is just a joke whenever you read his/her arguments! He thinks kutetea maovu ya serikali ndo uzalendo...anyway ukiona post kama hizo ignore. Maana watu kama haop wanataka attention. Infact hapa JF watu walishamgundua, ndo maana post zake watu wanaziignore kwa sababu hazina substance.....Jaribu kuchek na Kova kwenye simu yake ya kiganjani...

ila aise pole sana, na by the way jaribu uende benki uombe atleast temporary blockage ya account yako..maana wezi wanaweza kuwa wanapita pita hata hapa JF..wewe kawaambie kwamba incase of anything..you will proceed against them. utaprove ownership ya account kama ukipata hiyo barua. lakini pesa yako ikiibiwa kwauzembe wao..then hawana pa kukimbilia.
 
Yani nimesumbuliwa wiki mbili ili nilipie tu sh 500 QUOTE]

Mkubwa unakua kama ndo umekuja leo Bongo.....!! ungewapa hao manjagu buku jero tu walaa hata usingezuka hivo!!!
penye udhia......mkubwa penyeza..... Ndio Bongo yetu hiyo tufanyeje!!! tehe tehe
 
Kijana Wewe Ni Fisadi Namba Moja Kwa Sababu Unasema Vitu Bila Kuwa Na Vidhibitisho Vyovyote Vile Hata Hiyo Mada Yako Nina Wasi Wasi Nayo Sana Ndio Maana Nikakuuliza Yote Hayo Juu Nakuone Huruma Sana Kwa Kusukumwa Na Hulka Kwamba Mfanyakazo Wowote Wa Serikali Ni Fisadi Hata Hao Wanaolinda Mali Na Usalama Wako Una Wadhalilisha

Mfano Katika Maelezo Yako Ungetaja Bank Gani Pale Kituo Cha Polisi Uliwasiliana Na Nani Manake Wale Wanamajina Na Namba Zao Kwanini Hukuzinote Hizo ? Sasa Unatufanya Sisi Wote Ni Wahuni Humu ?

Mimi Sina Mengi Nafikiri Umenielewa Wewe Endelea Kuongopa Tu Mbele Ya Ummha Utaona Faida Zake
 
mkuu Watu Kama Akina Shy Wasikupotezee Mda..hapa Tumeshawazoea..wapo Tuu Kwa Sababu Mungu Aliwaumba Wawepo! The Guy Is Just A Joke Whenever You Read His/her Arguments! He Thinks Kutetea Maovu Ya Serikali Ndo Uzalendo...anyway Ukiona Post Kama Hizo Ignore. Maana Watu Kama Haop Wanataka Attention. Infact Hapa Jf Watu Walishamgundua, Ndo Maana Post Zake Watu Wanaziignore Kwa Sababu Hazina Substance.....jaribu Kuchek Na Kova Kwenye Simu Yake Ya Kiganjani...

ila Aise Pole Sana, Na By The Way Jaribu Uende Benki Uombe Atleast Temporary Blockage Ya Account Yako..maana Wezi Wanaweza Kuwa Wanapita Pita Hata Hapa Jf..wewe Kawaambie Kwamba Incase Of Anything..you Will Proceed Against Them. Utaprove Ownership Ya Account Kama Ukipata Hiyo Barua. Lakini Pesa Yako Ikiibiwa Kwauzembe Wao..then Hawana Pa Kukimbilia.

Kijana Wangu Umekosea Njia Heri Wale Wenye Hekima
 
Mhmm,hiyo ndio Bongo. Maoni yangu nenda taratibu, hao jamaa hawana sheria wala taratibu, ukianza kuwasema vibaya hawakawii kukuwekea unga mfukoni na kukutengezea kesi nyingine.
 
Huu ni ugonjwa wa polisi wa mlimani tangu zamani. Mimi miaka ya nyuma niliwahi kupoteza ATM yangu nikaenda wakaniambia hivyo hivyo. Fikiria gharama ya kutoka Mlimani hadi Oysterbay na muda kwa ajili ya kulipa sh. 500. Sasa hao polisi hapo kazi yao ni nini? Wangeenda hukohuko Oysterbay ijulikane hakuna kituo hapo. Wht happened ni kwamba nilitoa 1000 nikawama mara wakachomoa form wakaniandikia kila kitu na mhuri juu. It was painful but that is what I had to do otherwise I would incur unbearable cost. Na hili libenki hapo lina protokal ya ajabu. Maafisa wanaboa as if sio professionals. Wana kawaida ya kutoweka hela kwenye ATM siku za weekend na sikukuu. Huwa wanaweka Jm mosi wakiwepo, ila wakishaondoka hakuna kitu.
 
Pole sana Lasthope kwa yaliyokusibu.

Usichoke kufuatilia jambo issue yalo japo pia weka msisitizo kwa benki ili account yako ifungwe hadi hapo utakapopatikana ufumbuzi. Kutoa taarifa iwe kwa njia ya barua kwa wahusika na nakala kwa viongozi stahili au kwa kuongea na magazeti ni wazo zuri. Hilo litakuwa linakusaidia wewe lakini na wengine pia waliokwisha kumbwa na adha hiyo au watakaokumbwa huko mbeleni.

Tutumie njia zote tuziwezazo kuleta mabadiliko hata kama itachukua muda. Ndio uwezo wetu.
 
Huu ni ugonjwa wa polisi wa mlimani tangu zamani. Mimi miaka ya nyuma niliwahi kupoteza ATM yangu nikaenda wakaniambia hivyo hivyo. Fikiria gharama ya kutoka Mlimani hadi Oysterbay na muda kwa ajili ya kulipa sh. 500. Sasa hao polisi hapo kazi yao ni nini? Wangeenda hukohuko Oysterbay ijulikane hakuna kituo hapo. Wht happened ni kwamba nilitoa 1000 nikawama mara wakachomoa form wakaniandikia kila kitu na mhuri juu. It was painful but that is what I had to do otherwise I would incur unbearable cost. Na hili libenki hapo lina protokal ya ajabu. Maafisa wanaboa as if sio professionals. Wana kawaida ya kutoweka hela kwenye ATM siku za weekend na sikukuu. Huwa wanaweka Jm mosi wakiwepo, ila wakishaondoka hakuna kitu.

Ni dhahiri kuna tatizo mahali. Ni rahisi kuwanyooshea kidole hao maafisa wa benki au mapolisi.
Je, umewahi kulinganisha pato la mshona viatu kwa siku na anacholipwa huyu afisa wa polisi? Nakuhakikishia utabaki mdomo wazi.

Tizama pia pato la wale wanaouza maji kwa madumu mtaani kwako Dar es Salaam, mwosha magari, kinyozi, na pia yule anayekuelekeza mahali pa kupaki gari lako.

.
 
Thank you for the number, nimepiga sasa hivi na landline imeita halafu ghafla answermachine inasema simu haiwezi kupokelewa nitafute namba nyingine kama inawekana. Mnaona sasa ilivyo ngumu, huyu kova au rwambow ofisi zao ziko wapi? niko tayari kuwafata na kuwakilisha malalamiko yangu.

Pole but hiyo namba aliitowa yeye mwenyewe Kamanda Kova yuko Makao Makuu ya Police ndie anayekalia kiti cha Afande Tibaigana,Rwambow sijui wapi utampata but jaribu kwenda makao makuu wanaweza kukusaidia swala lako
 
Just to update you guys. Nimeenda hadi polisi chuo nikawaambia vituo nilivyoenda vyote nimeambiwa hakuna risiti. Huyo dada polisi akaniambia kama huna risiti hatuwezi kutoa lost report. I waas so mad nikamkomalia sana akasema oysterbay risiti zipo hata yeye katpka huko kaziona watu wanapewa. nikaona kwenye ubao namba za wakubwa nikachukua namba za kova ambazo actually ni 0754034224 na si 0754094224 kama nilizopewa mwanzo, nikachukua na za rwambo nikiwa na lengo la kwenda oysterbay tena kama wangesema hakuna risiti nipige kwa kova, nikaenda tena bank nao nikawambia wablock account yangu baada ya kubisha sana wakakubali nikaomba watoe pesa yangu yote iliyomo wanipe, wakaleta ubishi kidogo coz sina id ya bank huku nimewapa ya job, mwisho wakakubali wakaanza kuprocess pesa yangu itoke. Pembeni kulikuwa na mtu mwenye asili ya kiarabu naye kapoteza ATM, akaambiwa aende pale police, baada ya muda mwenzangu anarudi na hiyo lost report macho yakanitoka. Nikarudi tena pale polisi, alikuwepo plice mwanaume ambaye alisikiliza majibizano yangu na yule police mwanamke niliyemkuta mwanzo, nikamuuliza atanisaidiaje coz nataka hiyo form akaanza we dada unataka kutuelewa vibaya, mimi siwezi kukupa form kama hujalipia, itanifunga mimi. nikamwabia na huyu mtu aliyotoka hapa muda si mrefu hajalipia amepewa kwenye mazingira gani? akaona aibu mwenzie mwingine akawahi akanipa form nikatoe kopi nirudishe anijazie. Nikafanya hivyo ikajazwa na muhuri ukapigwa nikapeleka bank ambako pesa yangu ilikuwa nayo tayari nikapewa nikaondoka. Sasa ninashangaa kitu nimezunguka wiki mbili na kumbe ni cha kupewa dakika hiyo hiyo, ujue wengine hatujui rushwa inaombwaje, mi aliposema siku ya kwanza kuwa hapa hatuna muhasibu hivyo nenda kalipie niliamini ndo process, sikujua kama ni njia ya kuniambia nitoe chochote. Hata hivyo nimepata fundisho.
 
Kijana Wewe Ni Fisadi Namba Moja Kwa Sababu Unasema Vitu Bila Kuwa Na Vidhibitisho Vyovyote Vile Hata Hiyo Mada Yako Nina Wasi Wasi Nayo Sana Ndio Maana Nikakuuliza Yote Hayo Juu Nakuone Huruma Sana Kwa Kusukumwa Na Hulka Kwamba Mfanyakazo Wowote Wa Serikali Ni Fisadi Hata Hao Wanaolinda Mali Na Usalama Wako Una Wadhalilisha

Mfano Katika Maelezo Yako Ungetaja Bank Gani Pale Kituo Cha Polisi Uliwasiliana Na Nani Manake Wale Wanamajina Na Namba Zao Kwanini Hukuzinote Hizo ? Sasa Unatufanya Sisi Wote Ni Wahuni Humu ?

Mimi Sina Mengi Nafikiri Umenielewa Wewe Endelea Kuongopa Tu Mbele Ya Ummha Utaona Faida Zake

Shy alitaka uthibitisho... :)
Hata hivyo alitoa ushauri mzuri.

.
 
hivi tu unalipia ili upate hiyo report ingekuwa inatolewa bure je si ndio ingekuwa balaa zaidi. Mkuu pole sana na sisi umetufumbua macho ngoja nikaulizie bank yangu kama ina utaratibu kama huo nihamishie pesa zangu chini ya mto.
 
Sisi watanzania tumezoea vitu viwili:

1) kununua haki yetu. Kiasi cha kwamba hatuoni taabu kukata kitu kidogo ili tuipate.

2) Kuogopa authority. Tunakubali kuendeshwa na madesk officers, receptionists hata mesenja! Kwa nini huyu bwana baada ya kuona upuuzi hu hakudai kuwaona wakubwa zaidi? Huko polisi angepanda ngazi hadi kwa Mwema. Hapo ndipo jamaa watakapo shika adabu. Hauwezi kuzungushwa vituo vyote hivyo kwa ajili ya risiti!

Nashauri lolote litakalotokea aandike barua ya kulalamika kwa Kova, nakala Mwema na Katibu Mkuu, Mambo ya Ndani. Akiona wanapuuzia aitie kwenye magazeti na mlolongo mzima wa ishu. Aandike nyingine kwa meneja wa benki yake, nakala kwa CEO, akitoa sababu za KUFUNGA akaunti yake.

Upuuzi huu ni kama ule wa PF3. Inabidi wabadilike na kuwajali wateja.

Mimi ni mmoja wao. Hata hivyo sidhani kwamba tunatakiwa kuacha kutii mamlaka au kuamini maelekezo wanayotoa.

.
 
Ushauri wangu ni kwamba kama bado hujapata hiyo barua ya polisi kachukue pesa zako, na funga account.
 
JAmani kwa wana JF wote, iwapo unapata shida chukua number za hao askari ziko pale mabegani halafu njoo tundika hapa JF unamaliza mchezo.... maana hiyo ndio ID yake, hachomoki

Pole sana mkuu...
 
Ujumbe wangu kwenu mapolisi: kama hamlipwi mishahara inayokidhi hiyo sio sababu ya kulazimisha rushwa. Badala yake muende mkaandamane!

Hivi kwa sheria za hapa Tanzania, kuna mahali imekatazwa ku-rekodi mazungumzo yangu na Polisi, mfano kwa kutumia simu? Je, kuna haja ya mimi kumfahamisha kwanza kwamba nina-rekodi hayo mazungumzo?
Ushahidi wa namna hii utakubalika mahakamani?

.
 
Back
Top Bottom