Ujio wa Zitto Kigoma, Magdalena Sakaya wa CUF ndani

Wakuu wakati Zitto akitua Mkoani Kigoma Muda huu Mbunge wa Viti Maalum CUF,Na ambye Ni Naibu katibu Mkuu wa CUF-Bara Mh.Magdalena Sakaya Ni Mmojawapo ya Wanamsafara waliopo na Zitto.

Nimeipenda hii habari Magesi asante kwa taarifa je atakuwa na Mkutano kuhutubia wana Kigoma Kaskazini? please tunaomba kadiri unavopata habari uweke uzi wa kutujuza.
 
mbunge kijana ambaye alipeleka kesi mahakamani na baada ya hukumu kutolewa anakitaka chama ndio kimtaarifu juu ya hukumu hiyo!
 
Back
Top Bottom