Lokissa
JF-Expert Member
- Nov 20, 2010
- 7,446
- 2,490
Wakenya mnatia aibu
kwani mmeambiwa Obama anakuja kutoa neema au anakuja kwa interest za Marekani?
marekani hana rafiki au adui wa kudumu. yeye anajali zaid interest zake.
Mnalia lia kana kwamba hatakuja kenya Huyu mwandishi hana upeo zaidi ya hicho alichoandika.
Obama mjanja, atakuja kipindi cha mwisho kabla hajamaliz amuda wake ili kutoonekana anapendelea Kenya.