Ujio wa Naomi Campbell Ndani ya Tanzania .....

FirstLady1

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
16,792
5,375
Mwanamitindo mwenye vituko kibao hivi alikuja nchini kufanya nini nimekuta habari inaishia ishia

picha ya Chini akiwa na mama Jakaya sijui Lugha walikuwa wanaelewana msinimeze nawaza tu ...
WHITE+RIBBON+4.jpg

images

images

images
 
nina uhakika hawakuwa wanaelewana kabisaaaaaaaa maana mama namjua vyema kizungu ni tafrani
 
jamani hilo picha hapo limekuwa kubwa ambayo sijapenda na edit inagoma
 
acha hivo hivo ndo tunafaidi mamabo ya optical nutrition haya
 
Mie nauliza tu kiuzushi, hivi Maza wa kwanza alikuwa hana shuguli nyingine ya kufanya mpaka kwenda kuangalia ulimbwende, Tanzania we r 50 steps behind au ni jina? Hivi Mume wake alimuacha na nani nyumbani usiku huo, kazi kweli kweli.
 
tehhhh first lady mwenyewe yuko wapi
 
Mie nauliza tu kiuzushi, hivi Maza wa kwanza alikuwa hana shuguli nyingine ya kufanya mpaka kwenda kuangalia ulimbwende, Tanzania we r 50 steps behind au ni jina? Hivi Mume wake alimuacha na nani nyumbani usiku huo, kazi kweli kweli.

nadhani husband alimruhusu akaoshe macho ...
sijui kivazi gani hiki jamani ulimbwende kazi

naomi_campbell.jpg
 
Msanii na Mwanamitindo wa kimataifa Naomi Campbell akiwa jukwaani wakati wa onyesho la mavazi lililoandaliwa na Taasisi ya Utepe Mweupe kwa lengo la kusaidia mpango wa uzazi salama kwa wanawake wajawazito lililofanyika kwenye Hoteli ya Movenpick usiku wa kuamkia leo.
 
haijaniingia akilini bado, but anyway maybe it is there type of life.

hahahah si nimeona walikuwa wanachangia sijui utepe ili kina mama tuweze kujifungua salama inaweza kuwa sababu kubwa ya yeye kuwpo pale
 
Namjua sana mama, kithungu kwake ni mama mkwe, nafikiri alikuwa ni ooh yes sir,campbel you know me ze fashion of today,,,,,, kazi kweli kweli!
 
Back
Top Bottom