Ujio wa Chama kipya CHAUMMA na Harakati za ukombozi

Status
Not open for further replies.
Better to die fighting for Revolution(dropping CCM in 2015) than be a prisoner all the days of your life
 
Tarehe 3 mwezi julai,2012 chama kipya CHAUMMA(chama cha ukombozi wa Umma) kilipata usajili wa muda.

Kwa bahati mbaya kabisa au kwa makusudi kuna baadhi ya watu wameakueneza propaganda za kukichafua chama hiki.Chama hiki hakina malengo ya kuwagawa wapinzani.Kina lengo la kutanua wigo wa upinzani katika kupambana na mfumo unaochochea unyonge wa kijamii,dhuluma,matumizi mabaya ya raslimali za Taifa na kuunganisha nguvu kama Jamii iiyochoka kukandamizwa na inayodai haki usawa.

Chama hiki ni chama ambacho hata mtoto wa masikini anaweza kusimama na akawa na sauti katika kuchagua na kuchaguliwa.I am yet to see a truly democratic and progressive party in Tanzania.All we have are political platforms which people use to realise their ambition not the ones to save the people. As far as this moment is concerned, I don't see any difference in any political party in Tanzania. You may blame CCM or other parties for all you want to blame them for. And when you differ in opinion, they will plot your exit. That is not the kind of party we want

Though we disagree to agree, that gives us an edge. And that makes us stronger and we will continue to maintain that. We need to unite and there is need for unity among us. What holds us together is the unity and as a political party we must disagree, but whatever the level of disagreement, finally (at the end) we normally agree on a common front and that is what will make CHAUMMA a progressive party for progressive Tanzania.

Tunaamini suluhisho la matatizo yetu sote ni kupata mawazo na kutoa fursa kwa kila mtanzania mwenye kipaji kutumia fursa hii katika harakati zetu hizi

Tumepata maombi mengi ya kujiunga na chama hiki.Wengi wao ni vijana na tunaendelea kuratibu mchakato mzuri zaidi ili matawi na ofisi zifunguliwe mijini na vijijini.Tutawafuata Watanzania mahali walipo.Mwalimu Nyerere na wazee wa TANU walizunguaka Tanganyika katika kukusanya nguvu ya waafrika katika kupapmbana na ukoloni.Natambua kuna watanzania wasio na vyama,kuna wale walioko ndani ya vyama vya siasa hawaridhiki na mambo yalivyo.Tunawakaribisha kwa mikono miwili.

CHAUMMA tunapigania kwa vitendo kabisa demokrasia ya kijamii,haki,Amani na Usawa.

Hiki Chama lazima kitakua na High Profile members from CHADEMA.

Its High time sasa CCM kupumzisha akili na kuanza kula popcon. Kifo cha Upinzani tayari.

Lazima kuna wanachadema wamechukua mshiko kwa chama fulani cha mafisadi kuanzisha hii Chaumwa.

I have someone in Mind. You really want the presidential sit young man.
 
Eti USA kuna vyama vingapi? UK je? Leo hii Tz kuna zaizi ya 13 political parties na vingine vinakuja kila kukicha. Hakuna utofauti wa sera mkubwa kiasi hicho hadi kufikia kua na idadi ya vyama kama vilivyo hapa kwetu Tanzania. Mi nadhani ifikie muda tz iwe na vyama vi3 au viwili ili kuonyesha nguvu ya Demokrasia ya kweli.

Kwa wingi wa vyama hivi ni majungu katika siasa na kumpa anaeongoza wigo wa kujidai kwa mtaji wa wanachama wanaoamini NYERERE bado yu hai na anaongoza hadi leo. Msitudanganye kua mmekuja na kitu kipya ambacho vyama vingine vya upinzani hawana au wamekosa kufanya. Hiki ni kizungumkuti cha kuondoa au kupunguza nguvu ya vyama vya upinzani iliyopo kwa sasa.

Pia nashauri vigezo ya kupata uanachama iwepo pia kukifuta punde kitakaposhindwa kufikia 5% ya katika uchaguzi mkuu wa kwanza chama hicho kushiriki. Kwa sababu kuna vyama vilikua na 0.01% hadi 3% ya kura za 2010. Huu ni utitiri usiokua na tija. Futa na hakuna kupewa usajiri tena, vyama kama ;

JAHAZI ASILIA
DEMOKRASIA MAKINI (MAKINI)
PPT MAENDELEO
TANZANIA DEMOCRATIC ALLIANCE (TADEA)
CHAMA CHA HAKI NA USTAWI (CHAUSTA)
DEMOCRATIC PART (DP)
SAUTI YA UMMA (SAU)

Hivi hata ukijumlisha 10% ya kura haifiki...Upuuzi mtupu!!!!!!!
 
Hiki Chama lazima kitakua na High Profile members from CHADEMA.

Its High time sasa CCM kupumzisha akili na kuanza kula popcon. Kifo cha Upinzani tayari.

Lazima kuna wanachadema wamechukua mshiko kwa chama fulani cha mafisadi kuanzisha hii Chaumwa.

I have someone in Mind. You really want the presidential sit young man.

Very important precaution! Most likely situation...
 
Hahahahaaa..............Wishes!!!
good though!!!
Hiki Chama lazima kitakua na High Profile members from CHADEMA.

Its High time sasa CCM kupumzisha akili na kuanza kula popcon. Kifo cha Upinzani tayari.

Lazima kuna wanachadema wamechukua mshiko kwa chama fulani cha mafisadi kuanzisha hii Chaumwa.

I have someone in Mind. You really want the presidential sit young man.
 
Hiki Chama lazima kitakua na High Profile members from CHADEMA.

Its High time sasa CCM kupumzisha akili na kuanza kula popcon. Kifo cha Upinzani tayari.

Lazima kuna wanachadema wamechukua mshiko kwa chama fulani cha mafisadi kuanzisha hii Chaumwa.

I have someone in Mind. You really want the presidential sit young man.
Mkuu, nakubaliana na mtazamo wako kwa 80% hata mimi nilikua na hisia kama hizi....lakini mda si mrefu
kilakitu kitakua hadharani. Nawaasa Chadema kuwa makini sana na baadhi ya viongozi na wanachama wao
wanaohubiri kila siku kutaka Rais kijana na viongozi vijana! i smell something wrong here.
 
Tarehe 3 mwezi julai,2012 chama kipya CHAUMMA(chama cha ukombozi wa Umma) kilipata usajili wa muda.

Kwa bahati mbaya kabisa au kwa makusudi kuna baadhi ya watu wameakueneza propaganda za kukichafua chama hiki.Chama hiki hakina malengo ya kuwagawa wapinzani.Kina lengo la kutanua wigo wa upinzani katika kupambana na mfumo unaochochea unyonge wa kijamii,dhuluma,matumizi mabaya ya raslimali za Taifa na kuunganisha nguvu kama Jamii iiyochoka kukandamizwa na inayodai haki usawa.

Chama hiki ni chama ambacho hata mtoto wa masikini anaweza kusimama na akawa na sauti katika kuchagua na kuchaguliwa.I am yet to see a truly democratic and progressive party in Tanzania.All we have are political platforms which people use to realise their ambition not the ones to save the people. As far as this moment is concerned, I don't see any difference in any political party in Tanzania. You may blame CCM or other parties for all you want to blame them for. And when you differ in opinion, they will plot your exit. That is not the kind of party we want

Though we disagree to agree, that gives us an edge. And that makes us stronger and we will continue to maintain that. We need to unite and there is need for unity among us. What holds us together is the unity and as a political party we must disagree, but whatever the level of disagreement, finally (at the end) we normally agree on a common front and that is what will make CHAUMMA a progressive party for progressive Tanzania.

Tunaamini suluhisho la matatizo yetu sote ni kupata mawazo na kutoa fursa kwa kila mtanzania mwenye kipaji kutumia fursa hii katika harakati zetu hizi

Tumepata maombi mengi ya kujiunga na chama hiki.Wengi wao ni vijana na tunaendelea kuratibu mchakato mzuri zaidi ili matawi na ofisi zifunguliwe mijini na vijijini.Tutawafuata Watanzania mahali walipo.Mwalimu Nyerere na wazee wa TANU walizunguaka Tanganyika katika kukusanya nguvu ya waafrika katika kupapmbana na ukoloni.Natambua kuna watanzania wasio na vyama,kuna wale walioko ndani ya vyama vya siasa hawaridhiki na mambo yalivyo.Tunawakaribisha kwa mikono miwili.

CHAUMMA tunapigania kwa vitendo kabisa demokrasia ya kijamii,haki,Amani na Usawa.

Kwa nini msipiganie kwanza mageuzi ya mfumo huu wa kendesha siasa kupitia vyama vingi?Huoni kwa kuunga mkono harakati za mabadiliko na chama kingine itakuwa more viable? ideology na constitution yenu ili tujadili.

Ukisoma kitabu cha M.A mohammed Salih wa University of Leiden, The Netherlands titled 'Political Parties in Africa:Challenges for Sustained Multiparty Democracy' .Demokrasia ya vyama vingi Afrika ina tatizo

The democratic content of African political parties is still fragile and the prospects of genuine democratic consolidation vary from country to country.

Sasa tuupinge mfumo huu ambao ni fragile ili kuwe na sustainable democratic space
 
Molemo,

CHAUMMA hakipambani na CHADEMA.Hata wanafunzi wa Yesu walimlalamikia kwa kumuambia 'mwalimu kuna watu wanatoa pepo kwa jina lako'.Yesu aliwajibu asiyetupinga yupo upande wetu.

Kuna propaganda chafu ambazo zinaenezwa na baadhi ya watu na wengine wakiwa ni watu wa upinzani kwa lengo la kukichafua chama hiki kichanga.tunawindwa na baadhi ya vyama vya Upinzani na CCM pia.Tumejipanga na tunajiandaa kuanza usajili wa wanachama kwa njia ya mtandao na kutengeneza Database imara

Tunawakaribisha nyote ndani ya chama hiki.Ilibidi jana na leo chama kiongeze raslimali watu kwa kuwa vijana wengi wamejitokeza kutaka kujiunga na chama hiki.tumepata maombi kutoka kwa wanachama wakongwe.Hatutambeba mtu yeyote.Tunaandaa vetting process kwa wanaotaka kujiunga na hasa wale waliofanya kazi serikali na wenye tuhuma za ufisadi.Hatutaki kuwa zoa zoa.Tunazingatia maadili katika siasa zetu.

CHAUMMA ni reflection ya Tanzania yenye staha,haki,maadili na wajibu katika ukombozi Taifa na raia wake kiuchumi,kisiasa na kijamii.tutaandaa harakati nchi nzima ili kuunda mkusanyiko wa watanzania wenye ujasiri kama ilivyo haiba ya chama chetu yaani ujasiri wa kijamii

Asanteni,karibuni katika ukombozi huu wa vitendo

Mkuu hao ni magamba wameamua kuja kivingine,hii yote ni kuweweseka na kuchanganyikiwa jinsi M4C inavyopasua mawimbi,hawana lolote.
 
Mkuu, nakubaliana na mtazamo wako kwa 80% hata mimi nilikua na hisia kama hizi....lakini mda si mrefu
kilakitu kitakua hadharani. Nawaasa Chadema kuwa makini sana na baadhi ya viongozi na wanachama wao
wanaohubiri kila siku kutaka Rais kijana na viongozi vijana! i smell something wrong here.

Hebu fuatilia repplies za CHAUMWA. you will definitely know who the guy is.
 
Huu uandishi na ufahamu ni wa nani for now i will test my inteligency
Mkuu, hata mimi ninaweza kuguess kuwa huyu mtu ni nani. yaani hata huitaji kuumiza kichwa kumfahamu
huyu mtu! Kweli leo nimeamini kuwa lisemwalo lipo na kama halipo basi laja.
 
Asante

Tulipigiwa simu kwamba kuna thread imeanzishwa huku.Kwa kweli ilitusikitisha sana hasa kuhusu maudhui na jinsi ambavyo watu walivyokuwa wakipotoshwa/kupotoka.Uhuni na uchafuzi wa aina hii kwenye chama chochote cha siasa hauvumiliki.Kila chama kina mapungufu.Miongoni mwetu ndani ya CHAUMMA kuna watu ambao hawakuwa na vyama kwa kuwa hawakuona mbadala,kuna watu waliotoka kwenye vyama vya siasa.Naamini CHAUMMA kitakua kimbilio la watanzania wanaoona fursa ya ukombozi kupitia chama hiki.Hatutaki mchezo wa kuchafua vyama vingine ingawa sisi tunachafuliwa.Watanzania wanahitaji ukombozi na hiyo ndiyo ajenda yetu kuu katika harakati hizi

Propaganda za kuhusisha CHAUMMA na CCM zinafanywa na CCM kwa lengo la kutupunguza nguvu hasa baada ya mikakati ytu kadhaa kuvuja.Hatutakubali yatokee yale ya CCJ na tumeshavuka hapo.tumekabiliwa na changamoto nyingi na hasa mbinu chafu za Usalama wa Taifa katika kuhakikisha hatupati usajili.Tumevuka hapo natuna uhakika tutapata usajili wa kudumu hivi karibuni.Tunaendelea kushukuru michango ya raslimali inayochangwa na watanzania ambao wanatuona kama chama makini.Tumefurahi sana kupata maombi ya wananchi na hasa wasomi kwa muda mfupi sana.Karibuni sana

kama hujui ni nani anapenda sana kuuweka huo mstari wenye rangi nyekundu kwenye hutuba zake basi wewe hufuatiliagi siasa za Tanzania
 
Hebu fuatilia repplies za CHAUMWA. you will definitely know who the guy is.
Mkuu, nishamjua! Ukitaka tumtoe pangoni tuanzishe Thread inayomsema yule rafiki yake(mbunge)kijana kutoka
mwisho wa reli....haitapita hata dk 2 lazima atacoment tu. Lol imeniumiza sana hii kitu
 
Mchaka Mchaka,

Si vyema kutoa hukumu kwa njia isiyo ya staha kwa mambo ambayo hayana tafiti.Watanzania tumezoea kujadiliana kwa staha na hata inapotokea tofauti ya kimtazamo.Huu ndiyo ustaarabu na sifa inayowatambulisha watanzania.Asante

This sound like the same trend of propaganda from the ruling Party. It can prove some hidden agenda out of you. The point to note is that sometime you need to argue vigorously in order to be heard
 
Ninachowashauri acheni vita ambayo mmeshaanza na CDM.Hivi mnadhani kutangaza vita na CDM ni mtaimarika? Jifikirieni upya mkitaka kupata nguvu teteeni yale CDM wanayotetea.Mnavyofanya vita nao ndio mnakaribisha kifo chenu.Wenzenu CUF na NCCR walianza yamewashinda.

mkuu molemo sio siri hata mimi nimechoshwa na hivi VYAMA VYA KATA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom